Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

"Special card 4u" * ¡"""""'""''""""""'''' ¡* * ¡ .+""+...+""+. ¡* * ¡+MWALIKO + ¡* * ¡ "+. .+"+''+''+ ¡* * ¡ "+"+"+"+"+"+ ¡* >>>>>>>>>>>>>> familia ya mr YUSUF MANJ WA DSM...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Wabunge wawili ambao ni wanachama wa Simba na mmoja ni mwenyekiti, Ismail Aden Rage na Felix Mkosamali (Muhambwe) wamekiri kusafiri kwenda mikoani kuweka mambo sawa ili kuishinda Yanga leo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
David Beckham makes tearful exit in final Paris Saint-Germain home game• Beckham pays tribute to colleagues, staff and fans • Unlikely to feature in PSG's final game away at Lorient...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
na hv ndivyo mnyama simba alivyopakatwa na Yanga piga makofi tafadhariii
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wapenda ukweli tafuteni StarTV sasa hivi mfaidi mechi hii na sio kumsikiliza mtangazaji wa radio. Mechi nzuri ila naona 'pitch' sio nzuri.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Brazil leave out Ronaldinho and Kaka May 14, 2013 By ESPN staff Ronaldinho and Kaka have not been named in Brazil's squad for their Confederations Cup campaign. On Tuesday, Brazil head coach...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Fainali ya kombe la Mfalme huko Hispania inapigwa leo kwenye majira ya 22:30(EAT) kati ya mahasimu wawili kutoka jiji la Madrid, R.Madrid Vs A.Madrid. Match ya leo imetawaliwa na tetesi za...
1 Reactions
136 Replies
8K Views
OFFSIDE GOALS: watch Supersport United vs El Ahly live stream free April 2, 2011 in CAF Champions League
0 Reactions
4 Replies
12K Views
Hivi karibuni pamekuwa akisikika sijui ni msemaji wa klabu au nani Jamhuri Kiwelu akisema klabu yake inachezesha watoto katika mechi hizi za ligi, sasa wana JF naomba tufahamishane hao watoto ni...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nwaomba wadau humu mnisidie link itakayoniwezesha kuiona gemu ya leo ya watani wa jadi...plz mwenye kuifahamu aiweke humu
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Namba kumi (10) ipi kali kati ya hizi messi,romario,ronadinho,rivaldo,maradona.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Simba = (Daudi) Vs Yanga=(Goliathi) anaye bisha akasome biblia kilichotokea kati ya Daudi na Goliathi.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
7 APRIL 2013: ZURICH MARATHON, SWITZERLAND MEN: 1 Tadesse ABRAHAM ERI 2:07:44 2 Edwin Kiprop KORIR KEN 2:10:26 3 Samson Mungai KAGIA KEN 2:10:42...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yes,ntajing'ata makalio kiukweli lol! Kwasababu najua na nina uhakika kwamba ndio siku ya kulipa deni lililodumu kwa mwaka mmoja!
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Vp wadau wa sports kesho ndiyo fainal ndogo ya uefa mnaizungumziaje?
0 Reactions
101 Replies
7K Views
Nipo hapa uwanja wa taifa nikikata tiketi kwa ajili ya mtanange wa kesho watu ni wengi na cha kushangaza hawaogopi mvua kabisa. Wapo kwenye foleni hadi kieleweke. Mvua ni kali mno. Viva Yanga...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
David Beckham has retired from football, bringing an end to a glittering career on the field. Despite the offer of an extended one-year deal at Paris Saint-German, sources in Paris have revealed...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nikikumbuka mechi ijayo ya Simba na Yanga,kama namuona Mbuyu Twite akishangilia goli la tatu dakika ya 39 kipindi cha kwanza. ....Kama namuona rage akiondoka uwanjani mapema dakika za mwanzoni...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Viwanja vya michezo vilivyopo kote ulimwenguni havina budi kuwa na vyoo bora ikiwa ni pamoja na mazingira ya viwanja hivyo kuwa safi wakati wote. ManyandaHealthy: VIWANJA VYETU VYA MICHEZO VIWE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiungo mkabaji wa manchester united Michael Carrick kuchukua tunzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Klabu,hakika jamaa anastahili kwani amechangia asilimia kubwa ya mafanikio kwa klabu si kwa...
1 Reactions
0 Replies
915 Views
Back
Top Bottom