Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mbona hakuna wafuatiliaji wa NBA playoff tunacheza muda huu...Game limefika 4th quarter Tanzania wapo nyuma point 3 na tunacheza nyumbani... Mungu ibariki Tanzania.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
1 Reactions
4 Replies
912 Views
Jana katika taarifa ya michezo Channel TEN tulimuona mheshimiwa Ester Bulaya katika Bulaya Cup kavalia jezi nyeusi yenye strips za njano iliyotengenezwa na kampuni ya Addidas. Swali langu hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najiuliza RAIS na WASHAURI wake walitumia vigezo vipi kuipata timu bora ya UEFA ya mwaka 2012.mnaojua vigezo nijuzeni.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Malkia wa bees na MahaRage wako Uingereza kwa ajili ya kujikomba kwa klabu ya Sunderland, akiongea na Maulid Kitenge wa Radio One, mzee Kinesi amedai kuwa Simba itafaidika kwa kupeleka wachezaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shirikisho la soka nchini linatambulika na FIFA kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini sikumbuki kama pameisha wahi kufanyika uchaguzi wake ukiwashirikisha wagombea toka Zanzibar...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salam kwako Kaka, Niruhusu nikutumie ujumbe kupitia jukwaa kwani sina namna nyingine ya kuwasiliana na wewe. Niende kwenye maudhui ya waraka huu. Shirikisho la soka la dunia FIFA limetoa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Webb atasimama pale kati stantiago bernabeu tashuhudia ronaldo akipiga hat-trick nakuipeleka madrid final
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Hii ni kutokana na kupata kadi nyingine ya tatu leo mechi dhidi ya ruvu shooting.Kadi ya pili alipata mechi na azam ya kwanza aliipata katika mzunguko wa kwanza.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KILABU cha Barca leo kinaingia katika Dimba lake la Nou Camp kwenda pambana na KLABU ya Bayern Munchen ya Ujerumani. Ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kuchutama mara 4 katika Dimba la Alianz Arena...
0 Reactions
307 Replies
14K Views
Dakika ni ya 8,Barcelona 1,Betis 1. Ni mechi kali mno
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Bao lake la dakika ya 84 dhidi ya Torino limeifanya AC Milan kuizidi alama 4 Fiorentina. Fiorentina na Milan zipo vitani kugombea nafasi ya tatu ya kucheza Klabu Bingwa Barani Ulaya kwa timu za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ningependa siku ya kukabidhiwa ubingwa Patrice Evra ndio akabidhiwe kombe kwa niaba ya timu nzima kama kapteni na si Nemanja Vidic. Kwanini nasema hivo?nasema hivo kutokana na mchango mkubwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wazee tupate updates za soka la italia na hasa magazeti makuu matatu ya michezo ya Gazetta dello sport,tuttosport na corriere dello sport.
0 Reactions
43 Replies
5K Views
bondia francis cheka inaonekana hana mpinzani tanzania baada ya kumtwanga mashali KO, mashali alijitaidi kupambana hadi round ya 10 alipotwangwa konde zito lilimpelekea kupoteza fahamu kwa dakika...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Amini usiamini ndo kinachoenda kutokea leo tena uwanja wa old trafford.......
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu ndugu alipoondolewa yeye na Wambura hoja ya ubovu wa katiba ilipoanza.Hata Makala ndipo alijitokeza. Mtandao alioanzisha unafanana na ule dhidi ya akina Sumaye na Salim Ahmed Salim wakati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
robin van persie wa man utd,luis suarez wa liverpool na gareth bale wa tottenham nan anastahili tuzo ya mcezaji bora wa ligi kuu ya england msimu huu au PFA player of the year,toa maoni yako
0 Reactions
42 Replies
6K Views
hiki chama cha wachezaji wa mpira wa miguu kiitwacho sputnza kwelikipo hai? na je kama kipo hai kinafanya kazi gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miezi mitatu iliyopita niliandika uzi kama huu. Mashabiki wa Barcelona mishipa ya shingo ilitaka kuwapasuka kwa ubishi na matusi kuitetea timu yao. Sasa Bayern Munich imewaonyesha ukweli wa hicho...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom