Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,354
Wakati nchi za ulimwengu zikiwakilishwa na wanariadha wake mahiri katika mashindano ya dunia ya riadha mjini Moscow Urusi, Tanzania imeweka rekodi ya aina yake kwa viongozi wa Chama Cha Riadha Tanzania kutangulia Moscow huku wakiwaacha wanariadha nyuma.
Rais wa RT (aliyechaguliwa kinyume na katiba) bila wasiwasi, aibu wala uzalendo amekwenda Moscow wiki iliyopita...
Zaidi; TANZANIA NI NCHI PEKEE DUNIANI KUWAKILISHWA NA VIONGOZI KATIKA MASHINDANO YA RIADHA MOSCOW BADALA YA WANARIADHA - Gidabuday