Msaada football academy nzuri nchi nje ya Africa

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
ndugu zangu ninakijana wangu anapenda mpira wa miguu sana anamiaka 15 kwa sasa.Nataka nimpeleke shule yeyote ya mpira akasome huko,hvyo kwa yeyote mwenye kujua shule nzuri iwe marekani na popote pale anipe informations ntashukuru sana
 
Hakuna mhitaji shule hapa, shule nzuri ya soka kwa vyovyote haiwezi kuwa MArekani. Miaka 15 bado hujachelewa, mpeleke Azam Academy...
 
ndugu yangu mimi sitaki sport academy za africa nataka ulaya
 
Ebu jaribu ku-google hii,maana wana matawi europe na america:EduKick Soccer Bording Schools

Kisha lete updates mkuu.
 
asante mandieta,ntakupa feedback
 
Wacheki na hawa(Aspire football academy)
Hivi karibuni wamewachukua vijana wa kitanzania wawili,wapo Doha-Qatar.

Ukifanikiwa lete feedback mkuu.
 
asanteni wote kwa ushauri.i love JF
 
Back
Top Bottom