The difference between Arsenal and
a toothpick is that a toothpick
has two points![/QUOTE
Ni km mifugo tasa unafuga izae haizai
Kiwanda huanzishwa ili kizalishe, kama hakilazishi kila mwaka, kwa nini kiwanda cha jinsi hiyo kisifungwe?
arsenal ni kama mkia wa Mbuzi, haustiri uchi wala haufukuzi Nzi
Unatafuta vita na washika magobore wenye hasira mkuu