Sakata la uchaguzi wa chama cha soka tanzania limeingia gambo baada ya chama cha soka dunian Fifa kuamuru uchaguzo kurudiwa upya na katiba kurekebisha;;katika hatua ya kushangaza mwenyekiti wa...
Robert Lewandowski
Vita kusaka tiketi ya kusafiri kwendajijini London kwenye mchezo wa fainali wa klabu bingwa barani Ulaya.
"UEFA Champions League 2013
Semi-finals , 2nd leg, 30 Apr-1...
FIFA yaagiza mchakato ufanyike upya!
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuanza upya mchakato wa uchaguzi baada ya kubaini...
Leo ikiwa ni mwisho kabisa wa kutupa Nanga yetu katika dimba la nou camp naamini na ninauhakika na nini kikosi bora duniani kinafanya kwani tumejiandaa kisaikolojia na kimkakati ku win match hii...
Urefu ,miili ya Bayern Munich bila kusahau Nguvu ya kimchezo vimewasaidia sana hawa vijana na kutoka na huu ushindi wa ajabu wa goli 7 bila,congratulates BM and ur coach Jup Hencles
Sent from my...
shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuanza upya mchakato wa uchaguzi baada ya kubaini kasoro iliyotokana na ukosefu wa...
Super Mario ametoa kali ya mwaka baada ya kuwaambia wachezaji wa Real Madrid kama watawafunga na kuwatoa Dortmund kwenye UCL hapo kesho, atawapa demu wake wamsex...
Nimesoma magazeti jana kuhusu matatizo aliyonayo Jela Mtagwa na nafasi aliyokuwa nayo katija jumuia ya michezi na jamii kwa ujumla enzi zake. Nampa pole sana kwa yanayomkuta. Ni maoni kuwa Bwana...
Kocha mkuu wa Azam FC washindi wa 2 wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Stewart Hall amewavulia kofia mabingwa wapya wa kusakata kabumbu nchini Tanzania kwa msimu wa 2012/13 Young Africans Sports...
Ama unatafuta mpira wa pili?KATIKA HALI YA KUFEDHEHESHA MCHEZAJI WA BDORTMUND LEWONDOSKY ALIFURAHISHA WAANDISHI WA HABARI KABLA YA KUONDOKA KUKWEA PIPA KWENDA SPAIN AKASEMA NIWACHEKESHE LAKINI NI...
Kwa wale wapenzi wa Ngumi leo kuna pambano la kukata na shoka kwenye ukumbi wa PTA 77. Mashari ni kijana mtukutu anayeishi maeneo ya Tandale anajukumu zito la kufuta ngebe na tambo za muda mrefu...
Wakuu hii ni special kwa shabiki atakaye weza kutabiri mtanange huu kati ya barca na bayern kama tunavyojua ni leo 3:45 usiku. mpango mzma unakuwa hivi
Taja idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.