Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,761
Wale waandishi wajinga wajinga na makada wa CCM mliokuwa mnapotosha ooh Ngasa haja saini Simba wala mkataba wake TFF hawautambui haya sasa angalia kwenye mkataba wa Ngasa hapo pembeni utaona mhuri wa TFF na siku nyingine muuache kubetua ma------ yenu ooh simba wasanii ooh mzee wa pisto msanii...
View attachment 108283
View attachment 108284
Makada wa CCM ni pamoja na wewe na Julio, mlio amua kuchanganya soka na siasa....![]()
![]()
Nani kada wa CCM?
Hivi kama TFF wanatambua mkataba wa Simba kuwa halali Ngasa atacheza Msimbazi? Simba kama SACCOS tu. Hivi Malkia anasikika pande za wapi vile? Au anasubiri safari ya kupeleka Sembe arabuni?
Makada wa CCM ni pamoja na wewe na Julio, mlio amua kuchanganya soka na siasa....
Hivi hili sakata ndio litakaloishusha Simba SC daraja eenh?
Nimesikikisia hizo tetesi kwa wakulu fulani hivi, je zina ukweli?
Sakata gani?