Ligi ya Mabingwa Afrika

Ligi ya Mabingwa Afrika

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,353
Iko hatua ya Robo Fainali, ambayo huchezwa katika mfumo wa makundi.

Orlando Pirates inaongoza kundi A ikiwa na pointi 7 baada ya michezo mitatu kuchezwa. AC Leopards ya Congo na Al-Ahly zinafuata zikiwa na alama 4 kila moja zikitofautiana kwa magoli. Zamalek inashika mkia ikiwa na pointi moja tu katika mechi tatu.

msimamo.png​

Esperance de Tunis iko kileleni mwa kundi B, ikiwa inalingana pointi na Coton Sport, tofauti ikiwa ni magoli. Sewe Sport ya Ivory Coast na RCD Libolo ya Angola ziko chini zikiwa na alama 3 kila moja.

b.png​

Kwa hisani ya: 2013 CAF Champions League - MTNFootball
 
mkuu hii timu yenye jina la kiungo cha mwili wa binadamu yaani LIBOLO inanikumbusha mbali sana ilichowafanyia jamaa fulani wa pale kariakooo tehetheeeeeeeeeee
 
Are you ndala or something?
 
Iko hatua ya Robo Fainali, ambayo huchezwa katika mfumo wa makundi.

Orlando Pirates inaongoza kundi A ikiwa na pointi 7 baada ya michezo mitatu kuchezwa. AC Leopards ya Congo na Al-Ahly zinafuata zikiwa na alama 4 kila moja zikitofautiana kwa magoli. Zamalek inashika mkia ikiwa na pointi moja tu katika mechi tatu.

Esperance de Tunis iko kileleni mwa kundi B, ikiwa inalingana pointi na Coton Sport, tofauti ikiwa ni magoli. Sewe Sport ya Ivory Coast na RCD Libolo ya Angola ziko chini zikiwa na alama 3 kila moja.

Kwa hisani ya: 2013 CAF Champions League - MTNFootball

Libolo lipi, lile la Simba SC?
 
Libolo wanashika mkia wamechezea 2-1 kule Cameroon vs Coton Sport j1
 
Iko hatua ya Robo Fainali, ambayo huchezwa katika mfumo wa makundi.

Orlando Pirates inaongoza kundi A ikiwa na pointi 7 baada ya michezo mitatu kuchezwa. AC Leopards ya Congo na Al-Ahly zinafuata zikiwa na alama 4 kila moja zikitofautiana kwa magoli. Zamalek inashika mkia ikiwa na pointi moja tu katika mechi tatu.

Esperance de Tunis iko kileleni mwa kundi B, ikiwa inalingana pointi na Coton Sport, tofauti ikiwa ni magoli. Sewe Sport ya Ivory Coast na RCD Libolo ya Angola ziko chini zikiwa na alama 3 kila moja.

Kwa hisani ya: 2013 CAF Champions League - MTNFootball

this tym is for pirates maana wana hasira mbaya..
 
Back
Top Bottom