Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ligi inaisha sasa na hatuna budi kuipongeza timu yenye uhakika wa takriban kila kitu sahihi ya Azam kwa kuchukuwa ubingwa. Kitu kinachofedhehesha ni UTOVU wa nidham uliooneshwa dhahiri pasi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ligi kuu ya voda com inakwenda ukingoni. Pamoja na ligi hiyo kwenda ukingoni tumeshuhudia ubabaishaji wa hali ya juu hasa kipindi hiki cha mechi za mwisho. Timu zilionyesha wazi kupanga matokeo...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Dah mwaka huu kwangu ilikuwa majanga tu, Man United mapema tu ikatoka kwe mbio za ubingwa,Simba ndo yale yale,Chama langu la miaka yote Pamba ndo likashuka na daraja kabisaaaaa.Hapo ndo unaona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kuuliza hivi tikiti za mechi ya Simba na Yanga zimeanza kuuzwa na lipid ni kiwango cha chini
0 Reactions
0 Replies
817 Views
  • Poll Poll
HATIMAYE mbio za miezi saba ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara, zinaanza leo kwa miamba 12 kushuka dimbani huku bingwa mtetezi, Yanga akianza na wageni, African Lyon kwenye Uwanja wa Uhuru...
0 Reactions
4K Replies
341K Views
Katika mechi tano za mwisho za ligi kuu huko Australia waamuzi watalazimika kuvaa vinasa sauti ambavyo hata watazamaji watakaokuwa wakifuatilia mechi hizo katika TV watapata wasaa wa kusikiliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA)Jamal Emil Malinzi akizungumza na Wajumbe waliojitokeza katika mkutano huo wa Utekelezaji wa Chama cha Mpira wa Miguu (KRFA) Mkoa wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
I am looking for steroids in Dar es salaam that are used for muscle gains ...I do not require any advice on the side effects of steroids only the PLACE as to where I can buy them... NATAFUTA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Manchester City are the best paid team in sport, according to a new report. Sportingintelligence's survey says the Premier League club pay an average annual wage of £5.3m to its first-team...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mo Farah made his competitive debut in the London Marathon and finished in eighth place. He had hoped to beat the British record of two hours, seven minutes and 13 seconds, but missed out by...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA YAIZAWADIA TIMU MABINGWA WA KOMBE LA DUNIA VIJANA WA MITAANI ZAWADI YA ENEO LA ARDHI KWA KIWANJA CHA MICHEZO. Saturday, April 12, 2014 MICHEZO Mabingwa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Such a challenge to our youths. We should become a society of runners. I have been panting and huffing for 5km but this mama is doing a 42km. A first lady and far older than me..... I take the...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Timu ya Azam hivi sasa inatembea kifua mbele kwa kuwa inaongoza ligi, hivo kuwa na tegemeo la kuwa bingwa wa nchi yetu kwa mara ya kwanza lakini wanasahau kuwa timu ya Yanga imekata rufaa dhidi ya...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kwa washabiki wote wa yanga sports club,ninaamini watakubaliana na mimi jinsi yanga walivyo onyesha soka zuri la kufundishwa pamoja na kagera sugar kucheza mchezo wa rafu mbaya na kucheza...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimeona ule uamuzi wa kuvifungia viwanja kwenye mzunguko wa pili VPL umeleta mabadiliko chanya. japo sijafika, angalau pitch ya Sokoine Stadium Mbeya - uwanja wa nyumba wa MCC na Prison...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Hivi najiuliza maswali hawa wana Ndala Moja walipotaka kuandamana ati waongezwe eneo pale jangwani wajenge uwanja wa mpira mkubwa mvua za 2011 zilikuwa ni aibu tosha hata kama kuna mtu mwenye...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Mkuu Jamal Malinzi ya kweli haya? "kuna kiporo kilikatiwa rufaa mechi ikarudiwa Kanembwa wakashinda kilichotokea Stand wakakata rufaa kuhusiana na wachezaji Kanembwa iliowasajili dirisha dogo...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Folks this has turned into a Kenyan event CC kadoda11 Geza Ulole Dhuks Waltnam NairobiWalker The elite women have reached the halfway stage. Pacemakers Josephine Chepkoech and Joyce Chepkirui...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Haya kwa wale wapenda masumbwi mpambano mkali kati ya pacquia vs bradley ndo karibia unaanza ukumbi ni ule ule mgm grand arena las vegas,nitaleta more updates ruksa pia kuchangia wanjamvi...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
KENYA RUGBY UNDER 13 IN A TOURNAMENT IN EUROPES.the IAPS #Kenya7s U-13 squad that recently participated at the #Rosslyn7s in Eng. Won 1, lost 2. .
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Back
Top Bottom