Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Klabu ya Barcelona ya nchini Uhispania hatimaye imeruhusiwa kufanya usajili wakati wa dirisha dogo litakapofika barani Ulaya, ikisubiri kusikilizwa kwa rufaa yake iliyoikata kwenye shirikisho la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Adam Bassina Djato, Polish association “Hope for Mundial”. This year we are organizing second Football World Cup for Children from Care Homes. And via this email I would like to invite...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu ili kushinda tiketi ya kwenda brazil kupitia shindano la cocacola unatakiwa upate vizibo vyenye picha gani? Kwa anaejua wakuu naomba anieleweshe naona kuna kabahati kananinyemelea
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pamoja na waamuzi waliochezesha mechi ya simba na yanga iliyofanyika jumamosi kuimudu kwa asilimia kubwa lakini kuna maamuzi yalifanyika ambayo yaliniacha nijiulize maswali.Maamuzi yenyewe ni...
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Kocha mzoefu wa Uholanzi Van Gaal (62) ameikacha Tottenham, sasa yupo kwenye mazungumzo na Manchester United. Van Gaal ameshawahi kuzifundisha Ajax, Barcelona, AZ Alkmaar na Bayern Munich kwa...
5 Reactions
272 Replies
47K Views
Kutokana na tetesi zilizosambaa katika media Britain juu ya uwezekano wa kufukuzwa kwa "THE GREATEST CHOSEN ONE" natumia muda huu kuomba wapenzi wote wa soka waliofurahishwa kwa kazi aliyofanya...
1 Reactions
5 Replies
917 Views
Meb Keflezighi wins the Boston Marathon 2014: An emotional end to an emotional race.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna tetesi zimezagaa kuwa leo kocha wa manchester united david moyes ameachishwa kazi. Taarifa hizi zimezagaa goal.com, talksport espn na skysport mwenye taarifa juu hili atujuze
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habari wakuu hvi ni company ipi inayolpa kupitia hizo njia tofaut na iplay8
0 Reactions
3 Replies
6K Views
ni mtazamo wng wadau. kwa mwendo wa epl ninavyouona chelsea endapo itafanikiwa kumfunga sunderland cku ya jumamosi basi uwezekano utakuwa mkubwa sn kutwaa kombe. kuwafunga liver anfied c zani km...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
''mbali ya kuwa sanaa ya mapigano kwa kutumia mikono mitupu karate ni mjumuisho wa Nidhamu na Ujuzi'' Sensei Ernest Aussi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini ndugu wana jf. Jamani wana jf hasa wapenda mpira wa miguu na wadau wa mpira wa miguu tanzania bara naomba kuuliza, hivi hii nayo ni kanuni ya ligi ya kuzikutanisha timu za yanga na simba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamanda wenu nimefura kwa stress za kufanya ovyo ktk Liki Kuu!Sio ishu,nawaletea live updates mpira mkubwa Mnyama anakipiga na Yanga,Updates FT, SIMBA 1:YANGA 1
1 Reactions
285 Replies
27K Views
Kwa kweli soka la Tanzania litashuka sana iwapo wachezaji name viongoz hawatokuwa name uzalendo WA ukweli Ktk sehemu husika alipo mchezaji awe na uzalendo WA Tim take name viongoz wawe waadilifu..
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Wadau iwapo Liverpool watafungwa leo, basi itakuwa ni klabu ya kwanza katika historia ya EPL kuwa nje ya top 4 kabla ya new year, wakati krismas ilikua top of the table. Ikumbukwe pia klabu ambayo...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Dakika ya tatu Amri Athuman Kiembe anaipatia Simba bao la kuongoza.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Back
Top Bottom