Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ikiwa draw ya clab bingwa ulaya imepangwa leo....iko hv Buyern v Real Madrid na Chelsea v Atletico Madrid......Je unafikiri timu gani itaibuka kuwa bingwa kati ya hizo.
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Eneo la jangwani maarufu kama "bwawa" la Yanga limeonekana linafaa zaidi kujenga kit uo cha kuzalisha umeme badala ya uwanja wa mpira kutokana na eneo hilo kujaa maji ya kutosha mwaka mzima...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza wachezaji wengine 23 watakaoingia kambini kesho (Aprili 20 mwaka huu) kuungana na 16 waliotajwa awali kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
BBC Sport - Yaya Toure: Man City midfielder says he deserves more recognition Baada ya kusoma tena leo yale yaliyosemwa na Nasri kwamba Toure hawi recognized sababu ametoka Africa.., My Take Ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) Sepp Blatter ametuma salamu za pongezi kwa mabingwa wapya wa Tanzania Bara, Azam FC. Blatter ameandika barua hiyo kwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kulikoni taifa wadau? Naomba updates.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza anayejua tv station itakayoonyesha mechi hii Live...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Simba ni Simba hata akimwagiwa maji hawezi geuka nyani .....subirini leo mtathibitisha hilo!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeingia goal nikakaribishwa na Goal Tanzania Edition Editions zilizopo Maendeleo hayo......
0 Reactions
8 Replies
3K Views
afisa habari bora wa timu za mpira wa tz? Sendeu,ezekiel kamwaga,jafary idi wa azam....nk
0 Reactions
10 Replies
3K Views
...haya wadau, tuhabarishane maendeleo, mafanikio, kusua sua hata kuporomoka kwa chama letu, Mnyama Mkali, Simba taifa kubwa! Wengine sie, ushabiki tuliuanzia miaka hiyo, unaunga foleni ya...
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Hiyo ndio tunaweza kusema ndio kauli yetu kwa sasa yaani ni kichapo tuuu katoka mtaa mmoja hadi mtaa mwingine....Wanakwambia mwenge hauruki kijiji, lazima kila anayekuja achukue DOZI yake arudi...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Wiki hii ni mbaya kwa watani zetu Yanga Kukosa ubingwa Uwanja kugeuza ziwa malawi baada ya kujaa maji Kupigwa stop rasmi ya kujenga uwanja uitwao wa kisasa eneo hilo kwakuwa ni njia kuu ya maji...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Sikufahamu kama Anold ni Mfupi vile
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi wadau, najua wengi hapa tunacheza PES 2013 au hata 2014, sasa ni sentens gani toka kwa commentator unaipenda zaidi?? mimi yangu ni Nearly !! But in football term, nearly is no where
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Hi wapenzi wote wa soka!!!! hasa wa Barclays Primier League maarufu kama English Primier League. Hii ni special thread ya ligi nzima sio ya club ni ya timu zote zinasoshiriki ligi kuu ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 16 waliochaguliwa katika maboresho ya timu ya Taifa Taifa Stars kwenye hoteli ya Hill View jijini Mbeya. Kitu gani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
unakikumbuka hiki kikosi? nitajie majina yao
1 Reactions
4 Replies
946 Views
Sherehe za Timu yetu ya Madrid ziliingia Dosari pale beki mwenye sifa ya kadi nyingi za adhabu kuponyokwa na Kombe la Mfalme alipokuwa amelibeba huku akishangilia lilianguka mbele ya basi na basi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kenyans held 3-3 by Italy: Hosts come from 2-0 down to draw in Nyayo Stadium duel Zottino Francesco of Iytaly (left) and Kenya’s Michael Kyalo during the friendly match at Nyayo Stadium...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom