Wadau oneni wenyewe tabia za wachezaji wa chelsea.
John Terry,mmmh hilo jicho linatizama wapi?
Terry na lampard wakifanya yao.
Luiz naye anamfanya nini mwenzie?
Cahil hadi kamshika...
Leo Jumanne majira ya saa 21:45 kwa muda wa Afrika Mashariki kutakuwa na michezo miwili ya klabu bingwa ulaya.
Mechi ya kwanza ni kati ya Chelsea Vs PSG ambayo itachezwa katika dimba la Stamford...
katika gazeti la mwanaspoti kuna habari kuwa okwi aligoma kufanya mazoezi na klabu yake ya yanga siku ya jumanne akishinikiza amaliziwe fedha yake ya usajili. Okwi alisajiliwa kwa dola 100,000...
By GILBERT WANDERA Nairobi- A Kenyan businessman has given Tanzanian club Yanga a one week ultimatum to refund $20,000 (Approximatley Sh1.6million) over an alleged breach of contract. The...
Nimeshtuka sana leo asubuhi, baada ya kusikia taarifa katika kituo cha RFA kipindi cha MATUKIO -michezo kuwa Jamal Malinzi Rais wa TFF atatoa pesa zake mfukoni kufidia malipo ya kukatisha mkataba...
Jana nilikuwepo uwanja wa Taifa wakati Yanga na Jkt ikicheza kwa 5 na 1 jkt
Ni mwanachama makini wa yanga, kilichonishangaza ni pale tulipokuwa tunatoka nje kikundi cha yanga burudani/...
Wanajamvi habari za Asubuhi.
Mimi niseme wazi kuwa ni mshabiki mkubwa wa timu ya Arsenal kutoka jiji la London.
Nimekuwa mshabiki kwa muda wa miaka 15 nusu ya miaka yangu yote niliyoishi duniani...
WrestleMania 30 results
Hulk Hogan, "Stone Cold" Steve
Austin and The Rock opened
WrestleMania 30
Brock Lesnar def. Undertaker
John Cena def. Bray Wyatt
Cesaro won the 30-Superstar Andre...
For WWE fans:
Yesterday (06-04-2014) night , Daniel Bryan, the leader of the YES YES YES Movement has won the WWE World Heavyweight Champion by convincingly beating Rand Orton and Batista in a...
Leo ndio Leo katika uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga baina ya Stand Utd na Toto Africa ya Mwanza. Hii ndio mechi ya mwisho ya Ligi huku Stand ikiwa inaongoza ligi kwa tofauti ya point moja dhidi...
Barcelona FC yafungiwa miaka 2 kuanzia leo kutofanya usajili wowote, yavunja sheria ya uhamisho kwa kusajili watoto chini ya miaka 18.
chanzo: Mwananchi
========
The FIFA Disciplinary...
Ex-Man United boss Sir Alex Ferguson to teach at Harvard Business School
AP
APR 04, 2014 12:01p ET
After years of giving pointers to football players, Alex Ferguson will pass his...
Katika mikoa ya Tanzania Bara, ni mikoa michache tu, yenye timu zinazoshiriki ligi kuu, mingi ikiwa na timu zaidi ya moja.
"Dar es Salaam ina timu nne, Mbeya, Tanga na Pwani kila mmoja una timu...
Wadau hii sports betting ni janga la kitaifa tena lisipochukuliwa umakini litakuwa Bomu, Ukijaribu kufatilia huu mchezo utagundua kwa nyakati hizi umeshika kasi sana hasa kwa vijana na watu wa...
hakuna timu inayojua rafu kama CHELSEA ila jana wameumbuliwa na WAPIGA BUTI WENZAO......Mlifikiri wale ni arsenal au galatasaray?...acheni ndoto za kua mtamtoa psg...nusu fainali AT MADRID VS...
Mtu yeyote mwenye update ya mechi za ligi kuu soka daraja la kwanza kati ya mechi
MWADUI ya shinyanga na POLISI dodoma
STENDI united ya shinyanga na TOTO AFRIKA ya mwanza
Kwenye logo hii ya klabu ya yanga kuna alama ya mwenge,tulifahamishwa maana ya mwenge wa uhuru uliowashwa na kuwekwa kwenye kilele cha mlima kilimanjaro tarehe 9/12/1961 ulikuwa na malengo ya...
kama wewe ni shabiki wa CHELSEA pokea like yangu ya nguvu au mlifikiri wale ni arsenal au galatasaray?....wale wanaitwa IBRA CADABRA WAZEE WA KUPIGA BUTI....,.Poleni chelsea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.