FOR 2015
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 538
- 227
Wana JF...
Tafadhali mwenye kujua maendeleo ya Rufaa ya Ndg. Michael Wambura kuhusu Urais wa Simba atuwekee hapa. Ninazo taarifa kuwa Kamati ya Rufaa ya TFF ilikaa jana mpaka saa sita za usiku, ila mpaka hivi sasa sijasikia taarifa zozote juu ya Maamuzi ya Kamati hiyo.....Mwenye taarifa tafadhali