Uongozi wa soka tz uwe na fedha

Uongozi wa soka tz uwe na fedha

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,318
Wana jamvi ktk siku Tatu zilizopita tumeshuhudia wanachama Wa Yanga na Simba wakilumbana juu ya nani awekiongozi Wa timu hizi.Kutokana na ushahidi tuliokwisha ushuhudia kwa timu kuongozwa na viongozi wasio na fedha migogoro imekuwa haiishi vilabuni,madeni yameingezeka,migomo ya wachezaji na matokeo mabaya sana kwenye ligi zetu.Hivyo ni vizuri tuwache u mwinyi TUWAACHIE WENYE FEDHA WAVIONGOZE VILABU VYETU....tujadili.
 
Back
Top Bottom