The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.

TONGONI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,041
Reaction score
376
fifa_world_cup_2014_wallpaper1.jpg


Mambo yanaendelea kuiva taratibu tayari kuelekea Brazil from 12 June to 13 July 2014. Hiyo itakuwa mara ya pili kwa Brazil kuandaa Fainali za Kombe la Dunia. Jumla ya nchi 32 zitashiriki. Jumla ya mechi 64 zitachezwa katika majiji 12 ya Brazil. Pia itakuwa ni mara ya kwa "goal-line technology" kuanza kutumika kwenye Fainali za Kombe la Dunia. Spain watakuwa wanatetea kombe hilo baada ya kufunga Holland 1-0 katika Fainali zilizopita.[/QUOTE]


MECHI YA UFUNGUZI BRAZIL vs CROATIA Zingatia timu ya kwanza na ya pili ndio wanacheza mechi ya mwanzo.

http://www.espnfc.com/fixtures/_/league/fifa.world/fifa-world-cup?cc=5739
 
Kundi la Ghana ndio group la kifo(Germany,Ghana.South Korea na Italy).
 
Kundi la Ghana ndio group la kifo(Germany,Ghana.South Korea na Italy).
Hii sio draw ni pots ambazo zitatumika ku-form makundi hapo cha kuzingatia ni kuwa team zilizo katika pot moja haziwezi kukutana mzunguko wa kwanza.
 
Kundi A
Brazil
Croatia
Mexico
Cameroon
 
Kundi B
Hispania
Netherland
Chile
Australia
 
Kundi E
Switzerland
Ecuador
France
Hondurus
 
Kundi F
Argentina
Bosnia-Herzegovina
Iran
Nigeria
 
Kundi H
Belgium
Algeria
Russia
Korea
 
Suarez and Cavani, without forgoing Balotelli and Pirlo, all against England.

Hahaha...

Wanazi wa England nao watajitetea wana Rooney, Gerald...etc
 
Hizo timu kwenye red zitanzia pale zilipoishia four years ago.

Kundi G
Germany
Ghana

Portugal
USA

It's kinda battle between Boateng brothers
 
Hahaha...

Wanazi wa England nao watajitetea wana Rooney, Gerald...etc

Tatizo England ikitolewa kwenye ground stages Kombe la Dunia halinogi tena.

Kelele zote zitaisha and all English news will be focusing on the Ashes and Wimbledon.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom