Van gaal, endelea na mchezo wako tu.....

Van gaal, endelea na mchezo wako tu.....

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Kitu pekee tushichokitarajia tena msimu ujao pale Old Traford ni yalotufika msimu uliopita, Man U tumechoka na ile hali.

Kocha wetu mpya naona na yeye kaja na kamchezo ka Wenger, anaorodhesha tu wachezaji anaowahitaji, mara namtaka huyu, mara yule halafu huoni akiwachukua, natumia fursa hii kumuonya, yeye mwenyewe kakili pale kuna wachezaji wawili tu lakini hadi sasa kasajili mmoja tu, au anataka kutengeneza timu ya wachezaji watatu?
 
Kamsajili FABRIGAS KUTOKA BACA KWA ADA YA 23M£
 
Kasajili nan

kamsajili mmoja hata jina silikumbuki tena, hapo ndo ujue anatuletea mzaha mashetani wekundu, kachezaji hadi hukakumbuki jina!
 
Usajili bado haujaanza mkuu mpaka tar. 1 mwezi wa saba na kuisha mwisho wa mwezi wa nane. sasa hivi ni tetesi tu ndio zimetawala. Hiyo hoja yako labda usubiri mpaka katikati ya mwezi wa nane. Kumbuka pia kwa sasa yuko bize na kombe la dunia
 
Back
Top Bottom