Marcio Maximo atachemsha Yanga

SYMBOLOGIST

Member
Apr 10, 2014
67
26
Kocha Mbrazil Marcio Maximo anatarajiwa kutua ktk klabu ya yanga na kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo wakati wowote kuanzia sasa...watu wanaonekana kumkubali sana huyu mbrazil kwa kipindi alipokuwa hapa tz akifundisha taifa stars lakini kwa mujibu wa rkod zake jamaa huchemka sana akifundisha ktk klabu level!!..yanga ni timu inayohitaji kurejesha makali kwa kutwaa ubingwa na hawanaga subira hata kdg..maximo ataleta mabo ya kujenga timu na kuwap[a nafasi vijana wadogo(km simba msimu uliopita)..timu ya taifa haina lig km ilivyo klabu!! yanga watafungwa na watamtimua..maximo sio kocha sahihi kwa klabu hii!! yangu macho
 
Wewe inakuhusu nini hao yanga wakifungwa!!! kwani shamba lenu la Bunju mmemaliza kupalilia muhogo????
 
watz wagumu kuelewa halafu wepesi kusahau, Maximo alishangiliwa, akazomewa, atashangiliwa na kuzomewa tena
 
Dah navyo fahamu mimi sheik Yahaya Husein alishafariki na ni mtoto wake mmoja ndie anae fanya kazi ya utabiri sasa sijui nawe ni mtabiri?tupia namba yako basi tukufufuate ututabirie,mbona haujatabiri ni nani atakuwa bingwa wa kombe la dunia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom