Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

KIKOSI cha wachezaji 22 wa Grupo Desportivo Sagrada Esperança ya Angola kinatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam kesho Alhamisi tayari kukabiliana na Yanga katika mechi ya kwanza ya raundi ya tatu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
YANGA imekula ‘kiporo’ kwa tonge moja tu, tena bila mboga. Imeichapa Mtibwa Sugar bao 1-0 katika mechi yake hiyo ya kiporo cha Ligi Kuu na kufanikiwa kufikisha pointi 59 ikiwa na michezo 24 sawa...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Mchezaji wa soka ya kimataifa kutoka Cameroon, Patrick Ekeng, amefariki baada ya kuanguka uwanjani katika ligi ya Romania. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 alipoteza fahamu dakika saba tu...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari wakuu, Leo shirikisho la mpira wa miguu nchini(TFF) limetangaza kuwapokonya timu ya Azam pointi tatu kwa kosa la kumchezesha Erasto Nyoni aliepaswa kutumikia adhabu kutokana na kuwa na kadi...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
ndio hivyo wadau Mechi zote mbili zitachezwa tarehe 28 Aprili na marudiano yatafanyika tarehe 5 Mei Fainali itafanyika tarehe 18 Mei jijini Basel Uswisi
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Trend ya Atletico Madrid(AT) imewashangaza wengi nawalinganisha moja kwa moja na Leceister city katika mbio za medani za soccer ,match ambazo tulitarajia itolewe ndo kwanza imewaangusha vigogo...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Sometimes pamoja na ufundi mwingi (team tactics) bahati kwenye football ipo,hilo halina ubishi.Unajua kwanini scenario kama hii naizungumzia Atletico Madrid wazee wa deep defence?1 st leg ya semi...
5 Reactions
194 Replies
15K Views
HHistoria inawafavour atletico madrid kuingia fainali lakini historia pia inawanyima atletico ubingwa wa ulaya 2015/16. Iko hivi 2005/06 Barca bingwa 2006/07 liverpool vs barca(last 16)liverpool...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Zinedine Zidane: 3 months, 1 Champions league final. Arsene Wenger: 18 years, 1 Champions league final.
1 Reactions
2 Replies
684 Views
KITENDO cha Azam kutoka sare ya mabao 2-2 na JKT Ruvu Stars kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam leo kimeipa rasmi Yanga ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2016 kwani sasa vijana...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Baada ya Pep kukosolewa na waandishi wa habari hasa wa kijerumani baada ya kufungwa Estadio Vicente Calderon, ametania na kusema kwamba wanaweza kumuua kama Bayern itafungwa Allianz Arena...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Ole wenu mnaocheza kamari na kufikiri kuwa Man City inaenda kutolewa leo, Mtazamo wangu unanionesha jinsi Mancity walivyojiandaa kuushangaza ulimwengu wa soka kwa kutinga fainali ambako wataenda...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
kuna vijitu njaa vinajidai vinataka demokrasia yanga ni vijitu vyenye njaa vijizi wanaleta figisifigisu wamejikusanya wamechochea BMT mpaka wamejichukulia madaraka kusimamia eti uchaguzi wa yanga...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kampuni ya William hill betting imeendelea kumshawishi shabiki Leigh wa Leicester akubali kuchukuwa kiwango cha pesa tofauti na kile ambacho anaweza kupata pindi Leicester ikiwa bingwa hizi hapa...
0 Reactions
63 Replies
10K Views
Leicester....what a fairy tale! Nimejifunza mengi kutoka kwa Leicester na Chelsea! Hata ni baadhi 1. Jinsi mwaka mmoja unavyoweza kubadili kila kitu katika maisha yako. Msimu uliopita...
9 Reactions
14 Replies
4K Views
Eheheh walimwengu ni watu wa ajabu sana.... =================== Mvulana mwenye umri wa miaka 5 ambaye picha yake ilisambaa katika mitandao ya kijamii akiwa amevalia shati ya Lionel Messi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Yanga kuwa utafanyika Juni 25, 2016 badala ya Juni 5, 2016. Kamati ya Uchaguzi ya TFF imelazimika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Tunaelekea kuhitimisha msimu na hali inamtabiria bashiri njema Yanga kuelekea kuutwaa ubingwa kwa kukalia kiti ikiwaacha wapinzani wake wa karibu, Azam FC na mtani wake Simba...
7 Reactions
49 Replies
11K Views
YANGA NA UTAWALA WA MIAKA 5 WATALA TOFAUTI __________Na moody kabwe Moodykabwe@gmail.com ---0715268499 ---0683201492 18/6/2010 Club ya Yanga ilifanya Uchaguzi wake wa kikatiba Baada ya aliekuwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ukiiona Yanga ipo nafasi ya tatu kwenye ligi na Simba anaongoza ligi ujue ligi ipo katikati,ila ukiiona Simba ipo nafasi ya tatu na Yanga anaongoza ligi ujue ligi inakaribia kuisha
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom