Tofauti ya Simba na Yanga

IFRS

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
2,913
5,213
Ukiiona Yanga ipo nafasi ya tatu kwenye ligi na Simba anaongoza ligi ujue ligi ipo katikati,ila ukiiona Simba ipo nafasi ya tatu na Yanga anaongoza ligi ujue ligi inakaribia kuisha
 
Kwa hiyo unatuaminisha nini?
 
Ukiiona Yanga ipo nafasi ya tatu kwenye ligi na Simba anaongoza ligi ujue ligi ipo katikati,ila ukiiona Simba ipo nafasi ya tatu na Yanga anaongoza ligi ujue ligi inakaribia kuisha

Hapo ujue Yanga ana viporo kibao. Akishakula viporo vyake (kwa ndimu au bila ndimu), lazima achukue nafasi yake iliyozoeleka !
 
Back
Top Bottom