lemayan92
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 877
- 253
Baada ya Pep kukosolewa na waandishi wa habari hasa wa kijerumani baada ya kufungwa Estadio Vicente Calderon, ametania na kusema kwamba wanaweza kumuua kama Bayern itafungwa Allianz Arena. Alikosolewa zaidi baada ya Müller kuanzia benchi lakini yeye alisema kawaida ajazoea kucheza na washambuliaji wawili hivyo alitaka timu iwe "more stable".
Nipo pamoja na Guardiola, Bayern itashinda allianz arena na kutinga fainali.
My first eleven:
Neure
Lahm Martinez Boateng Alaba
Ribery Vidal Alonso Costa
Lewandowski Müller
NB:Guardiola hatumiagi 4:4:2 but wachezaji hawa wakiwa first eleven naamini tutashinda