Umesha waona shaktar usipime sikilizia tu...hili kombe lilikuwa la Dortmund,wamezembea,nadhani sasa litakwenda kwa Sevilla...duh,sijui itakuwa mara ya ngapi Sevilla kulichukua?!
Hao shaktar walitolewa na Sevila msimu uliopita tena finalUmesha waona shaktar usipime sikilizia tu
Si kweli mkuu,sevilla alicheza na Dnipro Dnepropetrovsk fainal na sio shakter,ila recently wamekua wazuri.Hao shaktar walitolewa na Sevila msimu uliopita tena final
...hili kombe lilikuwa la Dortmund,wamezembea,nadhani sasa litakwenda kwa Sevilla...duh,sijui itakuwa mara ya ngapi Sevilla kulichukua?!
Haa haa mwendo mpela kwa LFC hope tutafika mbali
Kwenye Uropa league mpira unapigwa mwingi sana, ila nawatabiria liverpool kucheza fainal na Shakter Donest na hatimaye kutwaa kombe
Nikweri hili kombe lirikua liende Dotmund, warifanya upumbav sana. I think linakwenda sevilla or Villa real
Mpira unapigwa Europa ,mpira mwingiii uefa hasa kuanzia robo final ni mbinu tu nawaambia watu sitashangaa city akatwaa ndoo
...hili kombe lilikuwa la Dortmund,wamezembea,nadhani sasa litakwenda kwa Sevilla...duh,sijui itakuwa mara ya ngapi Sevilla kulichukua?!
Wakuu anaemfunga bingwa si ndie anapaswa kuwa bingwa au? Ni wivu kwa Liverpool au nini? Mi nadhani kama mmekiri Dortmund ndie aliekua anastahili na ametolewa na Liverpool kwa mpira mwingi kiasi kile basi Liverpool ndo anastahili vinginevyo mfute kauli ya kuwa Dortmund alikua anastahili na mseme kila mtu anastahili......hili kombe lilikuwa la Dortmund,wamezembea,nadhani sasa litakwenda kwa Sevilla...duh,sijui itakuwa mara ya ngapi Sevilla kulichukua?!
Nikweri hili kombe lirikua liende Dotmund, warifanya upumbav sana. I think linakwenda sevilla or Villa real
Wakuu anaemfunga bingwa si ndie anapaswa kuwa bingwa au? Ni wivu kwa Liverpool au nini? Mi nadhani kama mmekiri Dortmund ndie aliekua anastahili na ametolewa na Liverpool kwa mpira mwingi kiasi kile basi Liverpool ndo anastahili vinginevyo mfute kauli ya kuwa Dortmund alikua anastahili na mseme kila mtu anastahili...
By the way sio kwamba Dortmund walizembea semeni walizidiwa kama walizembea wasingepata zile goli tatu.......na hata hivyo kwani walikua hawaoni zilivyokua zinarudi? Vipi wakubali kuzembea na wanaona goli zinarudi tu? The fact is walizidiwa ndio maana wakakubali zirudi na wafungwe...
Jifunzeni kutoa compliments kwa wengine hata kama hamuwapendi......#YNWA
Hee hee mark haya maneno yakoWewe acha kupayuka check possecion ilikuwa inaonyesha vipi? Kwanza Kafika kibahati-bahati mno...na kwa taarifa yako tu hii ndoo ndoo inaenda spain
hili kombe litakuwa la liverpool.ndio hivyo wadau
Mechi zote mbili zitachezwa tarehe 28 Aprili na marudiano yatafanyika tarehe 5 Mei
Fainali itafanyika tarehe 18 Mei jijini Basel Uswisi