Manchester City kutinga fainali leo

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,281
6,696
Ole wenu mnaocheza kamari na kufikiri kuwa Man City inaenda kutolewa leo,
Mtazamo wangu unanionesha jinsi Mancity walivyojiandaa kuushangaza ulimwengu
wa soka kwa kutinga fainali ambako wataenda kukutana na A.Madrid.

Ushauri wangu, wekeza hata nyumba kwa nyumba na nakuhakikishia utaibuka na
Nyumba nyingine leo.
 
Lala kwanza mkuu usingizi haujakuisha.bado unaota
 
Ole wenu mnaocheza kamari na kufikiri kuwa Man City inaenda kutolewa leo,
Mtazamo wangu unanionesha jinsi Mancity walivyojiandaa kuushangaza ulimwengu
wa soka kwa kutinga fainali ambako wataenda kukutana na A.Madrid.

Ushauri wangu, wekeza hata nyumba kwa nyumba na nakuhakikishia utaibuka na
Nyumba nyingine leo.
Mara nyingi sana eufa ukishindwa kupata goli nyingi uwanja wa nyumbani unajiweka ktk matatizo ni miujiza pekee ndo itamuokoa city
 
madrid amecheza mechi 8 za uefa alizoanza kwa kutoa sare ugenini amefuzu mechi saba..moja ndio alifungwa na kutolewa...nyumba ya kuwekeza labda iwe ina X ya Tanroad...
 
Casemiro na benzema majeruhi ronaldo anacheza ila sidhani kama yupo 100% man city wanatolewa...
 
Watabiri feki wa jf mshaanza
Kuna mwenzio yule Mwekundu
 
wewe unaonekana wazi kabisa ni mshabiki wa Barcelona hivyo una chuki binafsi tuu
 
Man cty anahitaji kushinda ama draw ya magoli apite
 
Ni kweli ni kweli Ni kweli. Man City ndani ya Fainali San Siro. Mimi shabiki Wa Man United na Barcelona.
 
Ole wenu mnaocheza kamari na kufikiri kuwa Man City inaenda kutolewa leo,
Mtazamo wangu unanionesha jinsi Mancity walivyojiandaa kuushangaza ulimwengu
wa soka kwa kutinga fainali ambako wataenda kukutana na A.Madrid.

Ushauri wangu, wekeza hata nyumba kwa nyumba na nakuhakikishia utaibuka na
Nyumba nyingine leo.

Hahaha we unataka watu waliwe huna huruma kabisa ivi inaingia akilini kweli city amtoe Madrid ?
 
Ole wenu mnaocheza kamari na kufikiri kuwa Man City inaenda kutolewa leo,
Mtazamo wangu unanionesha jinsi Mancity walivyojiandaa kuushangaza ulimwengu
wa soka kwa kutinga fainali ambako wataenda kukutana na A.Madrid.

Ushauri wangu, wekeza hata nyumba kwa nyumba na nakuhakikishia utaibuka na
Nyumba nyingine leo.

Endelea kuota!!! Utazinduka utaposkia CR7 kapiga goli la nne!!
 
Ole wenu mnaocheza kamari na kufikiri kuwa Man City inaenda kutolewa leo,
Mtazamo wangu unanionesha jinsi Mancity walivyojiandaa kuushangaza ulimwengu
wa soka kwa kutinga fainali ambako wataenda kukutana na A.Madrid.

Ushauri wangu, wekeza hata nyumba kwa nyumba na nakuhakikishia utaibuka na
Nyumba nyingine leo.
duuu.....ndoto za mchana izo.....
 
Back
Top Bottom