salumhamza
Member
- Nov 7, 2015
- 6
- 16
Leicester....what a fairy tale!
Nimejifunza mengi kutoka kwa Leicester na Chelsea! Hata ni baadhi
1. Jinsi mwaka mmoja unavyoweza kubadili kila kitu katika maisha yako. Msimu uliopita walinusurika kushuka daraja, msimu huu ni mabingwa. Chelsea ikitoka kuwa mabingwa hadi vilaza
2. Mwaka jana wakati kama huu, Edin Hazard alishinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu huku Mahrez akisugua benchi na kukaribia kuuzwa. Msimu huu Mahrez ndiye PFA POTY huku Hazard akiwa mbioni kusepa.
3. Ranieri "Tinkerman" na Robert Huth walitimuliwa Chelsea miaka 13 iliyopita kuwa hawana hadhi ya kuwa Chelsea! Leo wamekuwa mabingwa ... Uvumilivu, it is never too late to turn a corner!
4. Money is not everything!
5. Wenger should know that stupidity is doing the same thing over and over using the same method expecting different results
6. It doesn't matter how you start the race but how you finish! Leicester walipoteza game 2 za mwanzo dhidi ya Liverpool na Arsenal......ukianguka nyanyuka haijalishi umeangukaje!
7. Keep the low profile but keep the faith. Dream big but Take every step/game as it comes. Don't count your chicks before they are hatched