mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,734
Trend ya Atletico Madrid(AT) imewashangaza wengi nawalinganisha moja kwa moja na Leceister city katika mbio za medani za soccer ,match ambazo tulitarajia itolewe ndo kwanza imewaangusha vigogo ,Robo fainali vigogo no 1 wa soccer duniani Barcelona (defending champions) tuliona wanatolewa kwa aggregate ya 3-2
Leo katika Nusu fainali tunashuhudia team pekee ambayo tulitarajia iwatoe AT ikiaga mashindani kwa advantage ya away goal
Mimi kama mpenda mpira nathubutu kusema hivi kati ya Team zilizobaki sio Man city wala Madrid hamna yenye uwezo wa kumfunga AT,whether kwa historia kujirudia kama UEFA ya 2013-2014 au watoto wamuarabu wa Dubai kutoka jiji la Manchester
This time Atletico Madrid am 100% sure hatarudia makosa aliyoyafanya fainali za UEFA 2013-2014
Simeone Diego go go this is your reign