wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 554
kuna vijitu njaa vinajidai vinataka demokrasia yanga ni vijitu vyenye njaa vijizi wanaleta figisifigisu wamejikusanya wamechochea BMT mpaka wamejichukulia madaraka kusimamia eti uchaguzi wa yanga hata ukiwauliza BMT watoe wanachama wanaodai uchaguzi hawana zaidi ya kusikia majungu tu.
cha ajabu wanalazimisha pamoja na timu bado ipo kwenye mashindano ili ivurugike akina manji waonekane hawafai.
Yangu kuweni makini na yanga njaa na wengi wao ni viongozi ambao waliowahi kuongoza na ndio wanaleta vurugu hiyo