Kampuni ya bet yaendelea kumshawishi shabiki wa Leicester city twitter

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,827
4,757
Kampuni ya William hill betting imeendelea kumshawishi shabiki Leigh wa Leicester akubali kuchukuwa kiwango cha pesa tofauti na kile ambacho anaweza kupata pindi Leicester ikiwa bingwa hizi hapa ni mabishano yao Kati ya kampuni na Huyo shabiki wa Leicester mwezi huu

Screenshot_2016-04-29-20-35-03.jpeg


Screenshot_2016-04-29-20-35-16.jpeg
 
yaani kampuni ilikuwa inabip sasa mchizi amepiga hatari kante goal goal goal nimefurahi sana mwaka huu England
 
Leicester haitokua bingwa.
Kichapo kinaanzia old Trafford,
Kitafuata na Chelsea
Then na Everton.
Halafu Tottenham atashinda zote na kuchukua ubingwa.
C
Save this post
 
Leicester haitokua bingwa.
Kichapo kinaanzia old Trafford,
Kitafuata na Chelsea
Then na Everton.
Halafu Tottenham atashinda zote na kuchukua ubingwa.
C
Save this post

Wewe utakuwa uko ndotoni yaani totenham ambaye anazidiwa point saba ashinde taji
Hesabu bado zinambeba leicester city yeye akidraw hata mechi zote anachukua ndoo
Tottenham anakibarua cha kushinda mechi zote wakati huo akimuombea matokeo yakufungwa leicester umenisoma mr?
 
Aendelee kuuma meno tu ndio kamari ilivyo jamaa wanahaha mpunga mrefu inabidi wamtishe.Kimahesabu na performance ya lcfc kuukosa ubingwa ni %20 jamaa wana njaa na ubingwa hapo watang'oka hata miguu ndoo ipo hatua chache sana kwao.
 
Leicester haitokua bingwa.
Kichapo kinaanzia old Trafford,
Kitafuata na Chelsea
Then na Everton.
Halafu Tottenham atashinda zote na kuchukua ubingwa.
C
Save this post
uwe unaifafhi akiba ya maneno na jamaa utajili ushamjia ka masiala.
 
Back
Top Bottom