Ukistaajabu ya arsenal wa nairobi utaona ya manchester wa nigeria, huo ndio msemo rahisi na wenye msingi kwamba dunia hii ina mambo na wingi wa vioja, miaka iliyopita tulishuhudia watu wakiuwawa...
Katika hali inayoonesha kukerwa na mfumo mzima wa uendeshaji wa timu ya taifa na maandalizi ya timu ya taifa kwa ajili ya mechi dhidi ya new zealand, ilikuwa ni tafrani katika uwanja wa karume...
Ligi ya vilabu vya wanawake mkoani dar, imeanza kwa kishindo huku mashabiki wa soka wakipata burudani isiyo kifani katika uwanja wa karume jijini, timu kama sayari,jkt,mburahati na mdela queen's...
Football Feed Article | Football | guardian.co.uk
Nigerian Man Utd fan kills 4 Barca fans with bus[/SIZE]
PORT HARCOURT, Nigeria, May 28 (Reuters) - A Manchester United fan in Nigeria...
Nakumbuka kuna wakati wanamuziki wa kizazi kipya walikuwa wakilalamika kwamba watangazaji (presenters) wa vituo vya redio walikuwa wanataka kulipwa pesa nyingi ili waweke nyimbo zao kwenye vipindi...
Hivi ni kweli matokeo ya mechi za NBA yanakuwaga yamepangwa? Nimesikia mtu anasema hapa kwa vile jana Nuggets wameshinda basi na leo Cavaliers watashinda ili kuongeza pizzazz na hivyo kutengeneza...
Kibaka Ajaribu Kuchomoka na Zawadi za Harusi ya Mtoto wa Sumaye
Wananchi wenye hasira wakijaribu kumuadhibu kibaka aliyejaribu kuchomoka na zawadi za harusi ya mtoto wa SumayeMonday, May 25, 2009...
Nikiwa mshabiki wa Gunners mwaka huu naona excitement ya ligi iko mkiani kuliko ilivyo juu, you can understand why I guess! So far kuna timu kama 8 ambazo zinaweza kushuka daraja, na kwenye...
Mganga kumrejesha Kaseja, Simba
Burhani Yakub,Tanga.
MWANAMICHEZO maarufu nchini na mpenzi wa klabu ya Simba,Profesa Maji Marefu amejitolea kumlipa mshahara wa Sh 1.5 milioni kwa mwezi...
Naombeni mnitajie japo mchezaji mpira leo hii ana kiwango cha wachezaji hawa
YANGA AFRICAN
(1)HAMISI KINYE/JOSEPH FUNGO
(2)AHMED AMASHA
(3)ATHUMAN JUMA(CHAMA)
(4)ALLAN SHOMARI
(5)CHARLES...
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 4th May 2009
Beki wa zamani wa Simba ya Dar es Salaam, Victor Costa anayechezea timu ya Agasebe De Songo inayoshiriki Ligi Kuu nchini Msumbiji, amesema...
Hii taarifa ndio imedondoka sasa hivi (breaking News) kwenye www.goal.com. mechi ilishachezwa mwanzoni mwa mwaka huu jamani ni nini hiki? kweli bado tupo nyuma kiasi hiki?
KLABU ya soka ya Simba imesema itatumia jumla ya Sh. Milioni 900 kuweza kusajili kikosi imara kitakachoiwakilisha timu hiyo katika Ligi Kuu na michuano mbalimbali ya Kimataifa.
Mwenyekiti wa...
kuna issue mimi kama mwanaharakati inaniuma sana, mikoa mingi wasanii wake wamejitahidi kuipa support mpaka ikaonekana kimuziki, mfano ARUSHA, DODOMA, DAR, lakini hapa MWANZA tunawasanii ambao...