Mashabiki waamua kujitoa muhanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashabiki waamua kujitoa muhanga

Discussion in 'Sports' started by Swahilian, May 29, 2009.

 1. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ukistaajabu ya arsenal wa nairobi utaona ya manchester wa nigeria, huo ndio msemo rahisi na wenye msingi kwamba dunia hii ina mambo na wingi wa vioja, miaka iliyopita tulishuhudia watu wakiuwawa au kujitolea kufa kwa ajili ya dini au imani zao, kabila au jamii zao na wengine mali,wake au chakula, lakini hivi sasa mambo yamebadilika na kuingia katika soka, ambapo mashabiki kadhaa wamejiua au kuua wenzao eti kisa kufungwa na wapinzani wao,hii kazi!
   
 2. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Miaka hii vita ya ugaidi itakuwa pana sana kwani inabidi kuwasaka man u ,arsenal,liverpool,chelsea,simba au yanga terrorist, enh! Kwani wanafanya suicide na kuua inocent people, pia wanahusika kufanya genocide in soccer, naomba fifa ya blatter iandae mahakama ya genocide soccer fans killing court kati ya kenya au nigeria, maana hii ni terrorism inayonyemelea kiutani utani,
   
 3. P

  Preacher JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2009
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ndio inaonyesha kuwa kuna devil worshippers, soccer worshippers, etc. Hivi kweli mwanadamu mwenye akili timamu anaweza ku-commit suicide kwa ajili ya timu fulani?? Hivi anaweza kuuwa wenzake kwa ajili ya timu?? ukichukulia kuwa hao wachezaji anawaona kwenye luninga tu wala hafahamiani nao - wala hana kadi ya uanachama wa hiyo timu - ndio unapata jibu kuwa SHETANI YUKO KAZINI - anavuna wengi kwenda nao motoni - lets pray for other people - lest the devil overcome them and cause pre-mature deaths to people - GOD HAVE MERCY TO YOUR PEOPLE AND DEVIL GET LOST!!!!
   
Loading...