Premier League 08/09-Nini utabiri wako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Premier League 08/09-Nini utabiri wako?

Discussion in 'Sports' started by Kana-Ka-Nsungu, Apr 21, 2009.

 1. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nikiwa mshabiki wa Gunners mwaka huu naona excitement ya ligi iko mkiani kuliko ilivyo juu, you can understand why I guess! So far kuna timu kama 8 ambazo zinaweza kushuka daraja, na kwenye current bottom 3 ni vigumu kuamini kwamba Newcastle na Boro watashuka- na hapa ndipo utamu unapokuja, kama sio wao ni nani atashuka instead? Hawa WBA naamini habari yao imeisha japokuwa bado hawajushuka mathematically. My prediction- WBA, Newcastle and Hull.

  Nirudi top of the table- Nani atatwaa ubingwa? I strongly believe its now between Man U and Livepool. I hate to say this lakini naamini Man U will retain the title, Liverpool will chase them till the end kama walivyofanya Chelsea last season lakini wataambulia patupu, ukweli ni kwamba Man U wamekuwa wakiandamwa na bahati, wanashinda games hata wakicheza vibaya-and you need this to become a champion.

  Who will join Wolves in promotion to the PL? Utabiri wangu ni Birmingham watachukua automatic promotion iliyobaki na Reading watarudi through play offs wakishinda final yao kati yao na Sheffield United.
  Je we unaonaje? Nakutakieni Usheikh Yahya mwema.
   
 2. kisale

  kisale Senior Member

  #2
  Apr 21, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Utabiri wako ni mzuri na nimeupenda sana!kwanza nisije sahau kukupa pole kwa kichapo cha j'mosi tulichowapa.mimi timu 3 za mwisho hatutofautiani,Ni WBA,Newcastle na Hull city,Middle hatashuka daraja,ila nina utabiri wa kushangaza kidogo:

  1 Chelsea 83
  2 Liver 82
  3 Man utd 79
  4 Arsenal 75
  Nimejaribu kupredict matokeo ya mechi zilizobaki na huo ndio mtazamo wangu.
  18 Newcastle pts 37
  19 Hull 36
  20 WBA 27
  Nasisitiza huo ni mtazamo wangu.
   
 3. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Naanza kupata hisia kwamba hapo kwenye hiyo top spot kila mtu atavutia kwenye timu yake, najua kuna Gunners pia watakuja kujiweka on top hapa!
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,415
  Trophy Points: 280
  1.Manchester united
  2.Chesea
  3.Liverpool
  4.Arsenal
  Naomba kuwasilisha Usheikh Yahya wangu.
   
 5. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2009
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 705
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bingwa Man Utd.
   
 6. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,099
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  natamani sanaaaa man aukose ubingwaa...yeyote akipata e walaa..

  huko kwenye relegation namtamani new castle abaki...kwani
   
 7. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,074
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  I think Newcastle will be another TOO GOOD but WENT DOWN team, the likes of Leeds United enzi za kina Alan Smith na West Ham enzi za kina Joe Cole. Wataungana na West Brom na Middo's.

  NB;Bingwa Kuntankinte ameshawasilisha hapo juu.
   
 8. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,672
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  1 Man utd 2 Chelsea 3 Liver 4 Arsenal tamka lingine kwa EPL huu ndiyo mpangilio siku ya mwisho wa ligi.
   
 9. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chini vipi Nziku? Nani anashuka na nani atapanda?
   
 10. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  w

  I hate with passion to see this happening, it will be so unfair kwa Man U kuchukua ubingwa mara 3 mfululizo! Lets hope kuwa kutolewa kwa Liverpool kwenye CL kutawapa muda zaidi wa kuconcentrate kwenye PL.
   
 11. D

  Dandaj Member

  #11
  Apr 21, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina tofauti na utabiri wa timu za juu lakini kushuka kwa Newcastle!!!!!. namuonea huruma Shearer alichukua hilo fupa.
   
 12. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Dandaj unamuonea huruma ya nini? amekubali hii kazi for £1m na ni mechi nane tu, if he keeps them up he gets another £1m, its a win win situation for him, its like "alright, i'll send you down for £1m". He could have taken over earlier lakini kwa sababu zake binafsi alikuwa hataki.
   
 13. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,802
  Likes Received: 3,454
  Trophy Points: 280
  Ngoja nitoe utabiri wangu
  1. Man U
  2. Liverpool
  3. Chelsea
  4. Arsenal
  5. Everton
  6. Aston Villa
  7. Spurs
  8. West Ham
  9. Fulham
  10. Man City
  Nafasi ya 2 na 3 Chelsea na Liverpool wanaweza badilishanaTimu zitakazoshuka
  Middlesbrough
  Newcastle
  West Bromwich Albion
   
  Last edited: Apr 21, 2009
 14. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,672
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Wakuu mimi naamini Newcastle hawawezi kushuka. Mwisho natabiri itakuwa hivi:
  18. Hull
  19. Midlesbrough
  20. WBA
   
 15. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,672
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]Saturday, 25 April 2009[/FONT]
  [FONT=&quot]Hull v Liverpool[/FONT]
  [FONT=&quot]Monday, 04 May 2009[/FONT]
  [FONT=&quot]Aston Villa v Hull[/FONT]
  [FONT=&quot]Saturday, 09 May 2009[/FONT]
  [FONT=&quot]Hull v Stoke[/FONT]
  [FONT=&quot]Saturday, 16 May 2009[/FONT]
  [FONT=&quot]Bolton v Hull[/FONT]
  [FONT=&quot]Sunday, 24 May 2009[/FONT]
  [FONT=&quot]Hull v Man Utd[/FONT]

  Ukiangalia ratiba hii inaonyesha kifo kwa Hull, licha ya kuanza ligi vizuri hata kushika nafasi ya 3 timu zikiwa zimecheza mechi mpaka 10, bado inarudi kule kule kwenye ligi yao.

  Wakati huo huo Middles wana mechi moja tu ya kushinda dhidi ya Newcastle.

  [FONT=&quot]Sunday, 26 April 2009[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Arsenal v Middlesbrough[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Saturday, 02 May 2009[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Middlesbrough v Man Utd[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Monday, 11 May 2009[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Newcastle v Middlesbrough[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Saturday, 16 May 2009[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Middlesbrough v Aston Villa[/FONT]
   
 16. A

  Africa3 New Member

  #16
  Apr 21, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa inaonyesha kwamba wote hamtaki LIVERPOOL ichukue ubingwa.
  Sasa mtaona LIVERPOOL ndio bingwa wa mwaka huu.
   
 17. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,802
  Likes Received: 3,454
  Trophy Points: 280
  Una maana katika point 21 Man U ataambulia pointi 8 ? basi una msimamo mkali sana
   
 18. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Utabiri wangu ni kwamba, kama Liverpool wakishinda leo, basi Manu watachemka mno (sitashangaa kama waki droo na Portsmouth). Hivyo kuwapa ubingwa Liverpool. Kama Liverpool wakifungwa au kudroo leo, basi Manu wanachukua tena. Vyovyote vile, sitegemei Manu kushinda mechi zote zilizobaki. Wanaweza wasifungwe, lakini watatoa kama droo mbili hivi.

  Kwa hiyo:

  1/2 - Manu/Liver (kutegemeana na mechi ya Liver na Arsen leo)
  3 - Chelsea
  4 - Arsenal
  .
  .
  .
  17 - Middl
  18 - Hull
  19 - WBA

  Newcaste watasurvive.
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Chelsea = FA cup na CL

  Man U = Premier legue

  Arsenal na Liv trophyless again
   
 20. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,802
  Likes Received: 3,454
  Trophy Points: 280
  Kama Boro akimfunga Newcastle basi Newcastle si nao watashuka
   
Loading...