Mwanza tupo wapi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanza tupo wapi

Discussion in 'Sports' started by The Infamous, May 19, 2009.

 1. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kuna issue mimi kama mwanaharakati inaniuma sana, mikoa mingi wasanii wake wamejitahidi kuipa support mpaka ikaonekana kimuziki, mfano ARUSHA, DODOMA, DAR, lakini hapa MWANZA tunawasanii ambao wanamajina kama fid q, hardmad rado lakini wameshindwa kuonyesha mapenzi na mkoa wao hata kuvist na kuleta changamota kwa wasanii wadogo ili nao watoke vipi, kinachoniuma zaidi hawa MA DJ wa kissfm na Radio free,zote hizi radio station zipo mwanza lakini hawa MA DJ kamwe hawawezi hata mara mbili kwa wiki kupiga nyimbo za watoto wa mwanza, never yaani wamejenga tabia kwamba mwanza wasanii wote ovyo kwahiyo hakuna kupiga nyimbo za hawa watoto,,mtu kama Jaffari wa kisfm ni mtoto wa mwanza lakini si mzalendo na mkoa wake bonge la binafsi, kwakweli mimi kama mwanaharakati na ninayependa mkoa wangu hii inaniuma sana,labda wana JF NYIE ISSUE KAMA HII MNAICHUKULIAJE


  ..........................................
  I DO WHAT I FEEL IS RIGHT TO BE DONE, IF I'M WRONG ADVICE AND CORRECT ME, BUT NEVER SNITCH BEHIND MY BACK.
   
 2. dmaujanja1

  dmaujanja1 JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kaka kauli yako inaonekana unawajali sana Mahome boy wa Rock City ktk gemu ya Bongo flava. Lakini binafsi nafikiri ni uwezo mdogo wa wasanii wahapo Zoo kama mnavyopaita.
  Kaka, Hussen Machozi mtoto wa Bukoba mbona anafanya vzr na wadau wa hapo hapo Mwanza ndiyo wamemtoa,Kuna kijana anaitwa Pasha kwao Mtwara mbona anafanya vzr ktk hiyo mitaa ya Bomgo flava na Mtwara sidhani kama kuna FM station yenye nguuuvu.Kaka maisha ya kumtegemea flani afanye kuwabeba kisa mko ktk tauni moja hayana nafasi now dayz.
  Salute kwa Tetemesha Records anajitahidi kunyanyua vipaji hapo Mwanza.
   
Loading...