Swahilian
JF-Expert Member
- Apr 28, 2009
- 591
- 66
Katika hali inayoonesha kukerwa na mfumo mzima wa uendeshaji wa timu ya taifa na maandalizi ya timu ya taifa kwa ajili ya mechi dhidi ya new zealand, ilikuwa ni tafrani katika uwanja wa karume kutokana na baadhi ya mashabiki kumlaumu kocha huyo kuwaacha a.iddy na h. Moshi ktk timu hiyo, wakiwa na jazba huku wakiimba 'chuji' au 'boban' kila mchezaji alipogusa au kukosea mpira, hali hii ilimfanya maximo kufura kwa hasira huku akiwatuliza mashabiki