Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,271
- 5,366
Kwa kweli kila nikisema ninyamaze roho inakataa,nimeona nisikae na kitu kikaniuma,imeniuma sana,imenisikitisha sana,hakika yanga wanastahili adhabu kali sana,watu gani hawana huruma nabinadam wenzao?roho mbaya hii wameitoa wapi?wameanza lini kula vitu kwa pupa?kwa lile gharika la jana ambalo pengine halikuwahi kutokea kwa nchi yetu karne za karibuni sitashaghaa yanga wakilamba adhabu kali.