Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Soka ni moja kati ya michezo yenye kutoa matokeo ya kushangaza sana sometimes.
Achana na matokeo yaliyowahi kuishangaza Dunia kama Brazil kula wiki (7) na mengineyo,michuano ya Kombe la Mapinduzi ambayo sasa hv imefikia hatua ya nusu fainali na yenyewe haiko nyuma kwenye kutupatia matokeo ya kustaabisha,yafuatayo ni baadhi ya matokeo yaliyoshangaza wengi:-
Shangazo No. 1 - Yanga kula 4
Shangazo No. 2 - Forward line ya Yanga (ambayo inaaminika kuwa kali kuliko zote kwa sasa EA) kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu sana kutoka bila hata goli 1.
Shangazo No. 3 - Team ya Simba kupata ushindi mnono wa magoli 2-0 baada ya kushindwa kufanya hivyo kwenye mechi kibao.
Shangazo No. 4 - Mavugo kufunga magoli mawili kwenye mechi 1 kwa mara ya kwanza toka aanze kucheza Soka hapa nchini,ifahamike kuwa mara ya mwisho Mavugo kufunga magoli mawili kwenye mechi moja ilikuwa mwaka 2015 wkt huo akicheza Vitalo.
N.k, n.k...
Nikizungumzia Shangazo No. 1 (Yanga kula 4) mengi yamesemwa kuhusiana na matokeo haya wengine wakisema cjui yalipangwa cjui wahanga walizidiwa n.k binafsi (huku ikifahamika kuwa nipo karibu kimtindo na team hii) niwaombe wavimba macho wote walioshangilia matokeo hayo as if team yao ndo iliifunga Yanga kuvuta subira mpk Jumanne baada ya dk 90 za mchezo wa 2 wa nusu fainali ndo watapata jibu halisi ya wanayoyakeshea leo kwenye mitandao na mitaani.
Nikigusia kidoogo Shangazo No. 3 (Simba kushinda 2-0)....kwanza niwapongeze kwa kuonyesha kiwango cha kuvutia,kwa mara ya kwanza jana nimeshuhudia Simba wakishambulia na kufunga magoli kwa mipango cyo ya kusikilizia hisani au kujisahau kwa referee,Simba jana wamepiga "1,2" na "Kampa-kampa tena" za kutosha,lkn pia nitakuwa Mnyimi wa fadhira kama nitashindwa kulipa Credit goli la 2 la Mavugo,kwa hakika lilikuwa goli tamu sana,big up to him.
Ninaamini kiwango cha Simba cha jn kilichagizwa na matokeo waliyoyapata Watani zao juzi yaliyowafanya wacheze kwa bidii kuhakikisha wanashinda na kukutana nao kwenye nusu fainali wakiamini Watani zao hao wameporomoka kiwango ghafla kiasi cha kupata matokeo yale na kufikiri na wao watatembelea nyota waliyotembelea Azam,maskini kumbe hawajui kilichosibu kwenye mpambano ule na kwa kukomaa kule wameingia kwenye anga ambazo cyo tu wataishia kupata aibu bali kuna hatari ya aibu ile kuathiri hata mwenendo wao wa kuusaka ubingwa wa bara,ikumbuke team hii ina historia ya kuingia kwenye mgogoro pindi tu inapopata matokeo mabaya dhidi ya mtani wake.
Nimewasilisha!!!!!!