Yanga waliuza mchezo wa jana kwa timu ya Azamu?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
je, kutokana na ukata unaoikabiri timu yetu ya Yanga, kuna uwezekeno mechi ya Jana ikawa iliuzwa kwa timu ya Azamu?

hapa kuna uwezekano mkubwa kabisa ama wachezaji kununuliwa au makubaliano baina ya timu hizi mbili.

ni mtazamo walionao baadhi ya mashabiki na wasio mashabiki Wa yanga
 
Hakuna cha kuuza wala nini
Litimu limezoea miamala sana
Wacha dawa iwaingie
Leo mwanaume anafanya yake
 
Sasa Azam wanunue mechi ya kombe la Mapinduzi kwa pesa ipi watakayoipata baada ya kushinda?!

Kombe hili ni kama mazoezi na kulinda heshima.

Mlizidiwa, period!
 
Sasa Azam wanunue mechi ya kombe la Mapinduzi kwa pesa ipi watakayoipata baada ya kushinda?!

Kombe hili ni kama mazoezi na kulinda heshima.

Mlizidiwa, period!

duuhh! hapana hata kama nikuzidiwa siyo kwa namna ilivyotokea jana
 
Hawa Azam wabaya sana. Walijifanya kusinzia. Jamaa akaingia mzima mzima bila chupi. Kutahamaki mnara wa 4G umeshaingia. Wamejaribu kuchomoa wapi.Mnara wa 4G umenata.
 
Kwa hiyo mnauza sh ngapi na wengine tuje tuwanunue? Na kijiwe chenu kipo mitaa gani?
 
Yanga kama si fedha ingeshashuka daraja.Hiyo timu ni mbovu kuanzia viungo mpaka beki.Pale kati injini iko kwa Niyonzima tu,akibanwa timu lazima ilale.
 
Wanunue mechi ya nini Azam wakati walishafuzu tayari kabla ya mechi kumbuka Yanga alikuwa na point 6 Azam 4 Zimamoto 3 na JAMHURI 1 wakati huo JAMHURI na Zimamoto walishamaliza mechi. Yanga kubalini Mlizidiwa tu na Azam acheni longolongo.
 
Hawa Azam wabaya sana. Walijifanya kusinzia. Jamaa akaingia mzima mzima bila chupi. Kutahamaki mnara wa 4G umeshaingia. Wamejaribu kuchomoa wapi.Mnara wa 4G umenata.
Mshabiki wa simba unaongelea mpira... Mwezi ujao Safari za ndege zinaanza... Tunakutana na wakubwa wenzetu nyie shangilieni mapinduzi cup
 
Back
Top Bottom