pistmshai
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,313
- 3,683
The Federated States of Micronesia national under-23 football team maarufu kama Four Stars. Mnamo tarehe 3 July 2015 ilicheza mechi yake ya kwanza (Debut) dhidi ya Tahiti katika mashindano ya Pacific Games na kujikuta imechabangwa magoli 30-0. Mechi yake ya pili ilicheza dhidi ya Fiji tarehe 5 July na kupigwa magoli 38-0. Tarehe 7 July ilikamilisha mchezo wake wa tatu katika kundi dhidi ya Vanuatu, hiyo mechi ndio walivunja record ya dunia kwa kupigwa magoli 46-0, nakujikuta wakiwa mamepigwa jumla ya magoli 114-0.