Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,599
- 241,416
Haijalishi ni nani atamrithi , lakini naomba nikiri kwamba huyu ni kati ya makocha wabovu kabisa waliowahi kufundisha Timu ya Taifa .
Hakuwahi kuwa na rekodi yoyote ya ubora kwenye kazi yake , uteuzi wake ulighubikwa na uhusiano wake binafsi na Malinzi ( wote ni wana Yanga ), hana uwezo na alipanga timu kwa mtindo wa " bahatisha ndulute "
Katika kipindi chake ndipo Tanzania iliaibishwa kwa kipigo cha mbwa aliyekunywa maziwa ya mtoto ( bao 7 dhidi ya Algeria ) , kipigo ambacho sikuwahi kukishuhudia kwa timu yetu ya Taifa tangu nipate akili .
Mwache aende zake tu , kwanza amechelewa mno !
NB. Malinzi achunguzwe kwa kumpa ajira kocha mbovu .