Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) Leodger Tenga ni miongoni mwa watu watatu wanaowania uongozi kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa(Fifa). Tenga ambaye amewahi kuwa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Mechi ya Yanga na majimaji ndo inaanza hapa.. Tuwe pamoja kwa updates Dakika ya kwanza: Mchezo umeanza. Dakika ya 2: Yanga wanafanya shambulizi kali langoni mwa Majimaji, Amiss Tambwe anaingia...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Jamani tunaofuatilia michuano ya AFCON inayokufanyika kule nchini gabon tuwe tukijadili mienendo ya mechi katika uzi huu.... Mimi binafsi nimejikuta navaa uzalendo kwa zile nchi za kusini mwa...
1 Reactions
1 Replies
543 Views
Moja ya mechi ya Afcon iliyochezwa leo ilikuwa ni Algeria iiyosheheni ma pro wengi dhidi ya Zimbambwe na matokeo yalikuwa sare ya mabao 2-2. Zimbambwe ni moja ya nchi yenye uchumi mbovu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa sports! Uwanja wa taifa ni moja ya kiwanja cha kisasa na chenye hadhi ya kimataifa na katika viwanja bora barani Africa na kipo katika chati nzuri na za juu. Uwanja huu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimetizama news France 24 wakimuonesha Mtanzania akivishwa medal baada ya kushinda mbio huko India but sikufanikiwa kufahamu jina lake na mbio za umbali gani nimejaribu kugoogle sijapata mafanikio...
3 Reactions
91 Replies
12K Views
Nimeamini ukiona unachukiwa sana jua wewe ni tishio kwao maana hawapendi kabisa wewe unavyowatesa na kuwakonga myoyo yao!!! Messi kastaafu baada ya kukosa penalty muhimu kwa timu ya taifa lake...
13 Reactions
116 Replies
12K Views
Walidai tutaona AFCOM kupitia ZBC2. Jana wameonyesha mechi ya ufunguzi kwa muda wakatoweka hewani mpaka sasa. Biashara hizi zinahitaji kukidhi mahitaji ya wateja na kutoa taarifa sahihi. Binafsi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naam! ni nusu fainali, haijalishi unacheza na nani. ilikuwa ni lazima mkutane na Yanga SC. Njia pekee ya kumkwepa Yanga SC ni kujihakikishia mnatoka hatua ya makundi mkiwaacha waganda na aidha...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
Ndani ya saa 24 yatatoka Majibu ya Rufaa iliyokatwa na Mabingwa wa kihistoria wa LigiKuu Tanzania bara yaani Dar es Salaam Young Africans SC. Kamati hiyo ndiyo yenyejukumu la kuamua kama Yanga...
7 Reactions
262 Replies
23K Views
Alianza kwa kasi ya mbwembwe ndani ya klabu ya Simba,hakujua kuwa kuna wale waliomtangulia walianza na mbwembwe na kushindwa.... Akitokea timu ya Mtibwa Sugar, katika mechi 13 za awali Ligi Kuu...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Tunasajili hili kufurahisha wanachama sau tunasijili ili kukidhi mahitaji ya timu? ======== MSHAMBULIAJI wa Simba, Frederick Blagnon ameondoka Dar es Salaam leo kwenda Oman kupitia kwao Ivory...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wadau wa michezo haswa wana mtwara mashabiki wa ndanda fc niwapongeze kwa ubora wa timu yenu iliyouonyesha jana tarehe 15. 01 huku ushirombo na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 , Kupitia...
1 Reactions
0 Replies
966 Views
adui mwombee njaa... jumapili ya leo naziombea man united na man city zifungwe na zilegee... #team arsenal...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtangazaji:kocha cheche hongera sn cheche: asante nashukuru Mtangazaji:unajisikiaje kuiongoza azam ktk mafanikio aya? cheche: kwakwel ni fahari kubwa kwangu na kwa timu yangu ya azam...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Pogba mchezaji aliyenunuliwa kwa bei Kali paund million 100 ni sawa na billion 200 Tsh na zaidi,Mimi kwa mtazamo naona kichefuchefu hata kimbia yake utafikiri hakunyonya maziwa,sasa Leo kaamua...
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Wadau hvi wapi naweza pata fitness centre jirani na sayansi kijitonyama ukitoa ile ya oilcom
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiangalia mahojiano ya manahodha wa timu zetu za mpira wa miguu wakihojiwa baada mechi, karibia wote walioshindwa au kutoka sare utawasikia wakisema "Kwanza namshukuru Mungu, mpira wa...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…