Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) Leodger Tenga ni miongoni mwa watu watatu wanaowania uongozi kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa(Fifa).
Tenga ambaye amewahi kuwa Mwenyekiti wa Mabaraza ya Vyama vya Soka vya Afrika Mashariki na Kati(CECAFA) anawania nafasi ya ujumbe wa Baraza la Fifa.
Kwenye nafasi hiyo Tenga anashindana na gwiji wa zamani wa soka wa Zambia Kalusha Bwalya na Kwesi Nyantakyi kutoka Ghana.
Kalusha Bwalya kama ilivyokuwa kwa Tenga pia amewahi kuwa rais wa Shirikisho la Soka la Zambia(FAZ) Uthibitisho wa uwakilishi wa nafasi hizo saba kutoka Afrika utafanywa na Fifa uku uadilifu kikiwekwa kama kigezo cha kushinda nafasi hizo.
Nafasi hizo saba zinawaniwa kutokana na uwakilishi wa kikanda, jinsia na lugha.
Ukitoa maombi ya wazi ambayo yameombwa na watu watano ambao watawania nafasi tatu ambazo hazina nafasi maalumu kwa wanawake, wengine wote watalazimika kuwania nafasi moja. Uchaguzi huo utafanyika Machi ambao watakaochaguliwa watakaa madarakani mpaka mwaka 2021.
Wanaotaka mabadiliko watakuwa na furaha kwamba Rais wa muda mrefu wa Shirikisho la Soka la Afrika(CAF) atashindana na Ahmad Ahmad wa Madagascar kuwania moja ya nafasi hizo.