Sijaona watu wakilaani na kumkejeli Lionel Mess

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,505
674
Nimeamini ukiona unachukiwa sana jua wewe ni tishio kwao maana hawapendi kabisa wewe unavyowatesa na kuwakonga myoyo yao!!!

Messi kastaafu baada ya kukosa penalty muhimu kwa timu ya taifa lake laiti kama angekuwa ni cristiano ronaldo ayayayayayayayya vyombo vya habari vingemponda sana CR7 kuwa kitendo alichofanya CR7 cyo cha kiuchezaji!!!!

Ndiyo maana huyu jamaa CR7 hachuji maana hajui kukata tamaaa na Messi kun tuzo

1467664304820.jpg
1467664322369.jpg
1467664345397.jpg
1467664366380.jpg

mbili za ballondor hakustahili kabisa kupewa aliyestahili alikuwa ni cr7 lakini cr7 hakujali mwanaume bila kukata tamaa!!!?

Ukweli umejitenga wenyewe
View attachment 363022
 
Alafu wamlaumu kwa kipi maana hata game za copa America alikuwa on fire

5 goals
4 assist (kama sijakosea)
 
Kiukweli una uelewa mdogo sana wa kabumbu.
Pili acha ushabiki...Lengo la huu uzi ni lipi hasa
°Kumnanga messi
°Kumsifia CR 7!?!?
Kua mtu wa mpira bhana...
Na unatakwimu zipi za kuback up claims zako kwamba Messi hakustahili tuzo mbili alizopata za uchezaji bora wa dunia.
Kama ni hivyo mashabiki wa messi unataka wao pia waseme CR 7 alistahili tuzo moja tu na zingine zilikua kwa ajili ya mbeleko!
Raha ya soka sio maneno maneno ya kwenye gahawa,njoo na takwimu spot ili tuinjoy mazungumzo.
 
Nimeamini ukiona unachukiwa sana jua wewe ni tishio kwao maana hawapendi kabisa wewe unavyowatesa na kuwakonga myoyo yao!!!

Messi kastaafu baada ya kukosa penalty muhimu kwa timu ya taifa lake laiti kama angekuwa ni cristiano ronaldo ayayayayayayayya vyombo vya habari vingemponda sana CR7 kuwa kitendo alichofanya CR7 cyo cha kiuchezaji!!!!

Ndiyo maana huyu jamaa CR7 hachuji maana hajui kukata tamaaa na Messi kun tuzo

View attachment 363023View attachment 363024View attachment 363025View attachment 363026
mbili za ballondor hakustahili kabisa kupewa aliyestahili alikuwa ni cr7 lakini cr7 hakujali mwanaume bila kukata tamaa!!!?

Ukweli umejitenga wenyewe
View attachment 363022
Mtu wa kupenda mpira sio mtu wa kulalamika ......... acha kulalamika
 
Kiukweli una uelewa mdogo sana wa kabumbu.
Pili acha ushabiki...Lengo la huu uzi ni lipi hasa
°Kumnanga messi
°Kumsifia CR 7!?!?
Kua mtu wa mpira bhana...
Na unatakwimu zipi za kuback up claims zako kwamba Messi hakustahili tuzo mbili alizopata za uchezaji bora wa dunia.
Kama ni hivyo mashabiki wa messi unataka wao pia waseme CR 7 alistahili tuzo moja tu na zingine zilikua kwa ajili ya mbeleko!
Raha ya soka sio maneno maneno ya kwenye gahawa,njoo na takwimu spot ili tuinjoy mazungumzo.
Futa povu mzeee. Messi kastaafu baada ya kukosa penalty
 
Acha kujisemea, Albiceleste imetinga 4times fainali bila kikombe ndicho kilichompelekea astaafu, final 3 zilipigwa kwa matuta,na final moja alifungwa na ujerumani goli la kuotea dkk za lala salama! pia nawahakikishia ninyi wachache mliobakia wenye chuki na huyu mfalme na timu yake ya taifa na Barcelona kuwa soon atarejea kikosini.huu ndiyo ukweli halisi
 
Kiukweli una uelewa mdogo sana wa kabumbu.
Pili acha ushabiki...Lengo la huu uzi ni lipi hasa
°Kumnanga messi
°Kumsifia CR 7!?!?
Kua mtu wa mpira bhana...
Na unatakwimu zipi za kuback up claims zako kwamba Messi hakustahili tuzo mbili alizopata za uchezaji bora wa dunia.
Kama ni hivyo mashabiki wa messi unataka wao pia waseme CR 7 alistahili tuzo moja tu na zingine zilikua kwa ajili ya mbeleko!
Raha ya soka sio maneno maneno ya kwenye gahawa,njoo na takwimu spot ili tuinjoy mazungumzo.

Asante Mkuu,mashabiki bajia tunao wengi mno humu, kazi yao kuropoka tu
 
Acha kujisemea, Albiceleste imetinga 4times fainali bila kikombe ndicho kilichompelekea astaafu, final 3 zilipigwa kwa matuta,na final moja alifungwa na ujerumani goli la kuotea dkk za lala salama! pia nawahakikishia ninyi wachache mliobakia wenye chuki na huyu mfalme na timu yake ya taifa na Barcelona kuwa soon atarejea kikosini.huu ndiyo ukweli halisi
Hakuna mwenye chuki na yeye....kupaniki kunapelekea kufanya maamuzi yasiyo sahihi na wakati usio sahihi! Miaka 29 si ya kufikia kufanya hivyo angali bado ana kiwango kizuri!! Ukiweka ushabiki uchwara kando huwezi sema alifanya kitendo cha kijasiri...
Na hata akirudi kwenye timu yake anaweza pia asipate taji na hata timu yake inaweza boronga zaidi na ikachukua miaka kadhaa pengine ili kufikia hatua ya fainali kwenye mashindano makubwa!!
 
Back
Top Bottom