WADAU WA AFCON_2017 TUKUTANE HAPA..

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
542
733
Jamani tunaofuatilia michuano ya AFCON inayokufanyika kule nchini gabon tuwe tukijadili mienendo ya mechi katika uzi huu....
Mimi binafsi nimejikuta navaa uzalendo kwa zile nchi za kusini mwa jangwa la sahara yaani... Congo drc, Zimbabwe na uganda..
Na mzunguko wa kwanza umemalizika kwa timu zote kutoka sare isipokuwa timu tatu tu...

Je wewe unazungumziaje mashindano haya ukiwa kama mtazamaji tu wa haya mashindano?
 
Haya mashindano timu hazioneshi uwezo mkubwa sana sijui kwa baadae, saizi nikiangalia kidogo tu na yachoka
 
Back
Top Bottom