demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,288
- 15,238
Naam!
ni nusu fainali, haijalishi unacheza na nani. ilikuwa ni lazima mkutane na Yanga SC. Njia pekee ya kumkwepa Yanga SC ni kujihakikishia mnatoka hatua ya makundi mkiwaacha waganda na aidha timu mojawapo kutoka Zanzibar.
Kukutana na Yanga SC ni kitu ambacho hakizuiliki kabisa. hata usingekutana naye nusu faina basi ni lazima ungekuja kukutana naye fainali.
Tunajua kuwa huenda unajaribu kujichekesha muda huu, kwa kujiaminisha unaenda kukutana na Yanga SC iliyocheza dhidi ya Azam FC.
Basi, kabla hujafikiria mengine kichwano mwako. ningependa nikutahadharishe kuwa yule Bingwa wa kihistoria wa soka la Tanzania.....anakutana nawe nusu fainali MapinduziCup 2017. Najua wajua kuwa sote tunajua kuwa unadhani ndoto zako ambazo umekuwa ukiota tangu miaka kadhaa iliyopita za kumfunga Yanga SC kwenye mchezo zitatimia, basi ningependa nikutaarifu kuwa huo muda na wakati bado haujafikia.
sote tunajua kuwa baada ya kushuhudia matokeo ya mechi ya kirafiki/ wa kukamilisha ratiba baina ya Yanga vs Azam, ukapata matumaini ya moyo kuwa ile ndoto yako huenda ikatimia hasa kwenye michuano hii ya hapa Zanzibar.
Tunapenda kukuambia kuwa. Kajiandae!
naam. kabla sijaondoka ningependa tu niwakumbushe kuwa ni yupi baba mwenye nyumba inapokuja suala la mtanange huu wa watani wajadi.Inapokuja mtanange wa kuweka heshima mtaani huwa jeshi la Kijani liko makini mno, na wala halichezei shilingi chooni. Hebu jipatie kujisomea baadhi ya rekodi za Bingwa mtetezi na wa kihistoria wa LigiKuu Tanzania Bara!
MITANANGE:-
1. Match Played between these two clubs! 93
2. Match won by Dar es salaam Young Africans 35
3. Match won by Msimbazis' Simba SC 25
(Kuna upungufu wa michezo 10 ambayo Simba SC imefungwa na Yanga SC)
mechi zilizoisha sare 33
MATOKEO:-
1. Mabao ya Yanga SC dhidi ya Matopeni FC - 102
2. Mabao ya Matopeni dhidi ya Yanga SC - 89
(Kuna upungufu wa mabao 13 ambayo Simba SC imefungwa na Yanga SC)
Hayo ni baadhi ya yale ambayo Yanga SC amekuwa akifufanyia tangu mwaka 1935 mpaka ile siku Amis Joslin Tambwe alipofanikiwa kupiga bao la 'Mkono wa Mungu' au 'Maradona' na kusababisha bange ziliyokuwa zikivutwa na mashabiki wa Matopeni FC zijidhihilishe kwenye ulimwengu wa macho ya nyama na mpaka kila mtu akapata nafasi ya kushuhudia uharibifu wa rasilimali za Taifa ambazo sasa Klabu yenu inamalizia kuzigharamia kikamilifu.
Tunaposema kisigino hakikai mbele wengi huwa wanashangaa, hakikai mbele ni kweli. Tunawadai kila kona....na hapo ndipo panapo dhihirisha nani ni bora dhidi ya mwenzake. Tumekusudia kubeba ndoo 3 msimu huu.
1.Mapinduzi
2.LigiKuu
3.Azam Sports federation Cup.
Natamani niendele na uandishi wa uzi huu kuhusu tarehe ya mara ya mwisho umemfunga Yanga SC, kwa kuwahiyo tarehe mimi nimeisahau....na huenda Mwanangu ambaye sasa anatembea alikuwa angali tumboni mwa mama yake!
Ngoja niliache tu! mzalendo anisaidie.