siwapendi man united na man city...

dumesuruali

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
287
621
06c903f85a807987ca4cc6f02b679b67.jpg

adui mwombee njaa...
jumapili ya leo naziombea man united na man city zifungwe na zilegee...
[HASHTAG]#team[/HASHTAG] arsenal...
 
Maskin man u tunaendelea kushika usita kwa wiki ingine mwee!!

Hapo inabid city ndio afungwe
 
Maskin man u tunaendelea kushika usita kwa wiki ingine mwee!!

Hapo inabid city ndio afungwe
city hata akifungwa bdo mtabaki nafasi ya 6 as per goal difference...
ila mi nawaombea tu man u mzidi kuitetea nafac yenu ya 7...naamini litatimia hilo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom