Mtanzania, Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu Mumbai, India

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,658
Nimetizama news France 24 wakimuonesha Mtanzania akivishwa medal baada ya kushinda mbio huko India but sikufanikiwa kufahamu jina lake na mbio za umbali gani nimejaribu kugoogle sijapata mafanikio wadau wa mbio tukuzeni wabeba bendera wetu.

-------------------------------------------------------------------
Uptodate:

Simbu, Kitur win Mumbai Marathon
56561621.cms

MUMBAI: Tanzania's Alphonce Simbu won the men's elite full marathon event while Kenya's Bornes Kitur bagged the women's title at the Standard Chartered Mumbai Marathon on Sunday.

Simbu clocked two hours, nine minutes and 32 seconds to clinch the gold medal. Kenya's Joshua Kirkorir took the second spot with a time of 2:09:50 in a tough competition.

Kirkorir's compatriot Eliud Barbgetuny came third as he completed the distance in 2:10:39.
 
Ndugu taarifa yako haijakamilika.., ameshinda mashindano gani, yameandaliwa na nan, washiriki walikua wangapi etc.. uje utueleze vzr
 
..hongera zake.

..ushindi wake unakuja na kitita cha fedha.

.Alphonce Simbu akipewa msaada anaweza kurudisha heshima ya Tz ktk mbio za marathon.
 
Back
Top Bottom