Mechi ya kirafiki kati ya USHIROMBO RANGERS na NDANDA FC mjini USHIROMBO

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
2,120
1,510
Habari zenu wadau wa michezo haswa wana mtwara mashabiki wa ndanda fc niwapongeze kwa ubora wa timu yenu iliyouonyesha jana tarehe 15. 01 huku ushirombo na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ,

Kupitia ndanda fc kukubali kuja kucheza na timu tishio katika mji wa ushirombo kiukweli nimefarijika na kujifunza mengi sana nikiwa kama shabiki wa Ushirombo Rangers,

Ningeweka hata picha ingependeza zaidi lakini siwezi kupandisha picha kutokana na uwezo mdogo wa simu yangu,
kwa uhakika juu ya haya ninenayo Ingia facebook kisha tafuta jina la Dola Iddy Striker utajionea picha zote za ndanda fc na ushirombo rangers!,

MBARIKIWE SANA.
 
Back
Top Bottom