Mpira wa miguu unamatokeo 3; Kushinda, kushindwa na kutoka sare

Jongwe

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
1,040
662
Nimekuwa nikiangalia mahojiano ya manahodha wa timu zetu za mpira wa miguu wakihojiwa baada mechi, karibia wote walioshindwa au kutoka sare utawasikia wakisema "Kwanza namshukuru Mungu, mpira wa miguu unamatokeo 3 kushinda, kushindwa na kutoka sare. ..." huwa najiuliza hivi hakuna cha kuongea zaidi? Huwa sifurahii kwa hii sentensi wajieleze zaidi. .
 
Back
Top Bottom