Mr Mikazo
JF-Expert Member
- May 26, 2016
- 1,586
- 794
Mtangazaji:kocha cheche hongera sn
cheche: asante nashukuru
Mtangazaji:unajisikiaje kuiongoza azam ktk mafanikio aya?
cheche: kwakwel ni fahari kubwa kwangu na kwa timu yangu ya azam namshukuru Mola kwa hili
Mtangazaji:licha ya kupata matokeo kwa simba na yanga ugumu gan umekutana nao ktk mechi zao??
cheche: ndugu mtangazaji rekebisha hilo swali huwezi sema ugumu gan nimekutana nao kwa tm kama yanga niloifunga goli 4-0 bahat ikawa kwao mana nilitaka wale 7 wale. ktk mech izo 2 za awa vigogo mchezo uliokua rahisi ambao ata nikiamshwa usiku sina wasiwasi nao basi ni mechi dhidi ya yanga. Ni kazi rahisi kuliko ata mtu kutafuna pamba.wale msingi wao mambio tu hakuna zaidi ya hilo kwaiyo inakua rahisi sn kuwadhibiti wasilete madhara.
Mtangazaji:hahahaha
Cheche: hapa kwa mnyama. Kwanza naiheshimu sn tm ya simba tangu nacheza na sasa nikiwa kocha. Game na Simba ilikua mechi ngumu sn nashukuru tumefanikiwa. Kuifunga simba inahitaji utimamu wa mwili, akili na saikolojia kali kwa wachezaji sambamba na kuomba sn dua na ukifanikiwa mshukuru Mungu..ila tu niseme kweli ni bora uambiwe ucheze na tp mazembe Inaweza kua mechi rahisi kuliko mechi na simba. Simba ni tm nzuri wanacheza vzr akili nyingi sana ni bahati tu ndo iliamua matokeo ya jana. Naiheshimu sn simba hasa kwa soka lake la kapetini.
Mtangazaji: Du!! mwisho nini ujumbe wako
Cheche: azam watarajie mambo mazuri zaidi ya haya ya mapinduzi. Pia nawatakia kila raheri simba ktk harakati zao za kupigania kombe la vpl.
Mtangazaji:asante sn kocha kila raheri
Cheche:asante nashukuru.