Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,496
- 4,444
Walidai tutaona AFCOM kupitia ZBC2. Jana wameonyesha mechi ya ufunguzi kwa muda wakatoweka hewani mpaka sasa.
Biashara hizi zinahitaji kukidhi mahitaji ya wateja na kutoa taarifa sahihi. Binafsi mmeniboa sana kwa ahadi hii ya uongo.
Ujumbe wao huu hapa
"Ahsante sana mteja wetu wa king'amuzi cha Continental kwa kuwa nasi mwaka wote 2016. Ili kuonyesha shukrani zetu kwako, tumeongeza channel ya ATN na TV1, vilevile usikose kuangalia mashindano ya AFCON kupitia ZBC2"