undefine
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 442
- 1,011
Moja ya mechi ya Afcon iliyochezwa leo ilikuwa ni Algeria iiyosheheni ma pro wengi dhidi ya Zimbambwe na matokeo yalikuwa sare ya mabao 2-2.
Zimbambwe ni moja ya nchi yenye uchumi mbovu Africa,Zimbabwe imewekewa vikwazo vya kiuchumi vya kila namna hali ya maisha nchini zimbabwe ni mabaya,miundo mbinu sio mizuri sana
lakini Tanzania nchi iliyobarikiwa kuwa na neema mbali mbali miundo mbinu kama uwanja wa taifa na mengineyo,TFF chama cha soka kinapokea pesa na inaingiza pesa ya kutosha,kifupi wizara ya michezo pamoja na TFF wanayo budget na pesa ya kutosha lakini timu ya Taifa ni hohehahe
Aibu kubwa sana nchi yenye uchumi mbovu,miundo mbinu yasiyoridhisha ,budget ndogo imeingia Afcon na inafanya vizuri mbele ya wababe
lakini huku kwetu pesa ''mabilioni'' zinapotea hovyo dalili ya kucheza Afcon hakuna ,makocha wanabadilishwa kila leo na wanalipwa ma dollars yakutosha,
majirani Uganda na wao wanatesa Afcon
Tanzania tuna matatizo gani ase sisi .. blah blah blah