Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Habari zenu wadau wa sports!
Uwanja wa taifa ni moja ya kiwanja cha kisasa na chenye hadhi ya kimataifa na katika viwanja bora barani Africa na kipo katika chati nzuri na za juu. Uwanja huu unauwezo wa kuchukua mashabiki 60000 wakiwa wamekaa, ni jambo la kupongeza.
Mpira wa miguu kwa kiasi kikubwa umekuwa ukiingiza pesa nyingi kupitia matangazo mbalimbali yanayofanywa na Tv, radio station na matangazo ya moja kwa moja toka uwanjani.
Kwa Tanzania, uwanja wa Taifa hali imekua tofauti na viwanja vingine vingi dunia
inakuaje uwanja wa Taifa hauna electronic board ya matangazo?
yaani mpaka leo hii ulimwengu wa technology huu lakini bado ukiingia uwanja wa taifa unakutana na matangazo pembezoni mwa uwanja yamekandamizwa na mawe!
kweli tuko serious na matangazo yanaoingiza pesa nyingi?
Kuna gharama gani kuweka mbao za matangazo za kielektonik taifa?
Kwa hili TFF na wahusika wengine mliangalie kwa jicho pevu, kwani pesa nyingi inapotea tu watu hawavutiwi kutangaza na uwanja wa taifa!
Tuwekeeni elekronik board za matangazo uwanja wa Taifa hii itakua fursa kwenu pia.
Nawasilisha