Kumekuwa na maneno ya miaka mingi toka enzi za akina Abbas Gulamali na Azim Dewj kuhusiana na kuwa wadhamini wa klabu zetu maarufu wamekuwa wakizitumia kufanyia biashara ya madawa ya kulevya...
Leo wanakutana Mabingwa wa kombe la washindi ngazi ya Vilabu na Mabigwa wa kombe la Shirikisho Afrika.
Mpaka Sasa ni Mapumziko Matokeo ni Mamelodi Sundowns(South Afrika) 0 na Tp Mazembe(DRC) 0...
DID YOU KNOW?
Madaktari wa uingerza walisema atakufa majuz ndani ya masaa 24 lakin hadi Leo yupo hai,,,,
Je wajua nini Allah alisema,, ?
'umauti ni siri pekee anayo ijua yeye kua Wapi na lini na...
Shirikisho la soka Tanzania TFF, limesema litawatia nguvuni kwa mujibu wa sheria na taratibu mashabiki watakaoikashifu serikali ama uongozi wa shirikisho hilo kwa kuingia na mabango uwanjani yenye...
Hizi timu zinafanana herufi za majina.. zipo dimbani muda huu... sijaona tv inayorusha live ila nasikia Radio kwa jirani ikitangaza...
Tupeane updates..
Hata kama timu ni mbovu lakini makocha, wachezaji na mashabiki wa timu ile safari hii roho haziwadundi kwa kuhofia kufungwa na watani zao, maana wanacho cha kusingizia. Subiri uone.
Habari zikufikie popote ulipo kua... Ile timu bora kabisa katika ukanda wa CECAFA, Simba SC jana imetinga hatua ya robo fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
Dani Alves akiwa kama mchezaji wa Barcelona Fc akicheza nafasi ya Beki mbili na kuuzwa msimu huu kwa Vibibi kizee vya Turin(Juventus),alikua na mchango mkubwa sana pale barcelona.
Kutokana na...
Wanabodi.
Mpaka sasa Arsenal ameshakula 5, ukiangalia mipango ya huyu mtu anajiita kocha ni ile ile miaka yote iliyopita. Anafungwa kabla hajaingia uwanjani kinachobaki ni kujua tu goli lakini...
Kama kawa kama dawa mwana! Leo nawaletea live updates za mechi kati Stand Utd "chama la wana" na Mbeya City "Timu ya kizazi kipya" kutoka uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema kwamba hana shaka yoyote kwamba atakuwa bado anafanya kazi ya umeneja msimu ujao, Arsenal au "kwingineko".
Wenger, 67, alikuwa akiongea baada ya moja ya...
Mpira wa miguu soka unaongoza duniani ikiwemo Tanzania kwa kuwa na mashabiki wengi hadi kwenye ngazi ya vitongoji. Wapenzi wa mpira wa miguu wanapata arosto kama wakishindwa kuziona au kusikiliza...
TRA wamezuia akaunti zote za TFF ikiwamo ile yenye hela za kuendesha Ligi ya Vodacom.. TRA wanadai kulipwa kodi ya mishahara ya waliokuwa makocha wa timu ya Taifa kuanzia kwa Mbrazili Maxio Maximo...
Habari za Simba kupatikana kupitia mtandao wa Vodacom
Klabu ya soka ya Simba kwa kushirikiana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo zimezindua huduma mpya inayojulikana kama Pata...
nimekaa nikawaza bado sijapata jibu nimeona niwashirikishe wenzangu mnisaidie jibu hivi sisi wa Tanzania mchezo gani tunouweza tukajivunia kama taifa Maana sasa hivi vijana wamebaki ushabiki wa...
Huyu dogo Bradley Lowery shabiki wa Sunderland aliambiwa na madokta kwamba zimebaki siku60 tu afe ambazo zimetimia jana,aliomba kabla hajafa aje shujaa wake mshambuliaji Jermaine Defoe awe nae...
Salaam wakuuu,
Dunia haitaishiwa maajabu,
Video hapo chini inaonyesha kitu kilichowekwa kwenye goli kinachozuia nyasi kutikisika katika mechi moja inayohusisha timu mbili zinazoshiriki ligi kuu...
Leo ndio ile hatua ya mtoano ya 16 bora inaanza, mechi za Leo ni
Benfica Vs Borussia Dortmund
PSG Vs Barcelona
Mechi za Kesho:
Bayern Munich Vs Arsenal
Real Madrid Vs Napoli
Karibuni kwa...
Jana PSG wameshinda goli 4 kwa 0 dhidi ya barca.
Sheria na kanuni za UEFA zinasema timu moja isipoingia uwanjani wapinzani wake wanapewa ushindi wa points 3 na goli 3.
Swali je ?PSG wakiamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.